Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

YANGA YAIZIMA AZAM CHAMAZI, YAIPIGA 2-1

VIGOGO, Yanga SC wamepiga hatua kubwa katika mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, Azam FC usiku huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.

Haukuwa ushindi mwepesi, kwani ilibidi Yanga watoke nyuma baada ya kutanguliwa kwa bao la mapema na Azam FC lililofungwa na mshambuliaji Mzambia, Rodgers Kola dakika ya 11.

Iliwachukua dakika sita tu Yanga kusawazisha bao hilo, mfungaji beki Mkongo Djuma Shabani kwa penalti kufuatia kipa Ahmed Ali Suleiman Salula kumdaka miguu kiungo Mrundi, Saido Ntibanzokiza akiwa anakwenda kufunga.

Na kinara wa mabao wa Yanga, Mkongo mwingine, Fiston Kalala Mayele akaifungia timu hiyo bao la ushindi dakika ya 78 akimalizia krosi ya Djuma Shabani, mchezaji mwenzake wa zamani wa AS Vita ya kwao, Kinshasa.

Kwa ushindi huo, Yanga inafikisha pointi 51 katika mchezo wa 19 na kuendelea kuongoza ligi kwa pointi 14 zaidi ya mabingwa wa zamani, Simba SC ambao hata hivyo wana mechi mbili mkononi.

Azam FC inabaki na pointi zake 28 za mechi 19 sasa katika nafasi ya tatu.

[QUOTE="Amir, post: 1372, member: 20"] [HEADING=2]YANGA YAIZIMA AZAM CHAMAZI, YAIPIGA 2-1[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjbw57pwEE8MxqzG2KbaReJOChIU6uh5C27psjxbraMbY89PEvj5PfIzwS3Ogn7dVF5sREupF3cACj2lLxMzWzJ8KbbUJhXzkVyXnvsyEYV5JNHlGcwFBVv1p69N-Ud7tm9iL-hjUSuJWrAOMNOZ5dE5VyC0XYZtNQv1IlS3D-PgAfYf1h44AhXyCnH/w640-h508/A0CC2771-573B-4BE1-B232-9B2A31AFE174.jpeg[/IMG] VIGOGO, Yanga SC wamepiga hatua kubwa katika mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, Azam FC usiku huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Haukuwa ushindi mwepesi, kwani ilibidi Yanga watoke nyuma baada ya kutanguliwa kwa bao la mapema na Azam FC lililofungwa na mshambuliaji Mzambia, Rodgers Kola dakika ya 11. Iliwachukua dakika sita tu Yanga kusawazisha bao hilo, mfungaji beki Mkongo Djuma Shabani kwa penalti kufuatia kipa Ahmed Ali Suleiman Salula kumdaka miguu kiungo Mrundi, Saido Ntibanzokiza akiwa anakwenda kufunga. Na kinara wa mabao wa Yanga, Mkongo mwingine, Fiston Kalala Mayele akaifungia timu hiyo bao la ushindi dakika ya 78 akimalizia krosi ya Djuma Shabani, mchezaji mwenzake wa zamani wa AS Vita ya kwao, Kinshasa. Kwa ushindi huo, Yanga inafikisha pointi 51 katika mchezo wa 19 na kuendelea kuongoza ligi kwa pointi 14 zaidi ya mabingwa wa zamani, Simba SC ambao hata hivyo wana mechi mbili mkononi. Azam FC inabaki na pointi zake 28 za mechi 19 sasa katika nafasi ya tatu. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom