Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Klabu ya Yanga Yatinga Nusu Fainali Ya Kombe la FA Baada ya Kuichapa Geita kwa Penati

Kikosi cha Yanga kilichoanza dhidi ya Geita Gold FC

KLABU ya Soka ya Yanga imefanikiwa kutinga katika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho maarufu kama FA kwa kuifunga klabu ya Geita Gold FC kwa jumla ya mikwaju ya penati 7-6 baada ya mchezo kumalizika kwa kufungana bao 1-1.

Goli la Geita Gold FC lilifungwa na Paul Chikola katika dakika ya 87 na lile la Yanga likifungwa na beki wake Djuma Shabani kwa mkwaju wa penati katika dakika ya 93 ya mchezo.

Mchezaji wa Yanga Jesus Moloko akiwa katika majukumu yake uwanjani

Katika mchezo Kocha Mkuu wa Yanga Nassredin Nabi alipewa kadi nyekundu kutokana na kutokubaliana na maamuzi ya mwamuzi na kwa maana hiyo anatarajiwa kukosekana katika pambano la Ligi Kuu dhidi ya watani wa jadi Klabu ya Simba.

[QUOTE="Amir, post: 1389, member: 20"] [HEADING=1]Klabu ya Yanga Yatinga Nusu Fainali Ya Kombe la FA Baada ya Kuichapa Geita kwa Penati[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/04/batch_WhatsApp-Image-2022-04-10-at-9.54.15-PM.jpg[/IMG] [I][B] Kikosi cha Yanga kilichoanza dhidi ya Geita Gold FC[/B][/I] KLABU ya Soka ya Yanga imefanikiwa kutinga katika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho maarufu kama FA kwa kuifunga klabu ya Geita Gold FC kwa jumla ya mikwaju ya penati 7-6 baada ya mchezo kumalizika kwa kufungana bao 1-1. Goli la Geita Gold FC lilifungwa na Paul Chikola katika dakika ya 87 na lile la Yanga likifungwa na beki wake Djuma Shabani kwa mkwaju wa penati katika dakika ya 93 ya mchezo. [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/04/WhatsApp-Image-2022-04-10-at-10.48.43-PM.jpg[/IMG] [I][B] Mchezaji wa Yanga Jesus Moloko akiwa katika majukumu yake uwanjani[/B][/I] Katika mchezo Kocha Mkuu wa Yanga Nassredin Nabi alipewa kadi nyekundu kutokana na kutokubaliana na maamuzi ya mwamuzi na kwa maana hiyo anatarajiwa kukosekana katika pambano la Ligi Kuu dhidi ya watani wa jadi Klabu ya Simba. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom