Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

YANGA YATOA SARE TENA, 0-0 NA PRISONS, MAYELE...

WENYEJI, Yanga SC wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Mshambuliaji Mkongo, Fiston Kalala Mayele atalala na mawazo leo baada ya kuikosesha nafasi mbili nzuri Yanga za kupata mabao kipindi cha kwanza.

Kwanza alipewa pasi nzuri na kiungo Feisal Salum dakika ya 12, lakini akashindwa kufanya maamuzi ya haraka hadi beki wa Prisons akatokea na kuondosha kwenye hatari.

Baadaye dakika ya 39 akaenda kupiga juu mkwaju wa penalti kufuatia Feisal kuangushwa kwenye boksi.

Kwa sare hiyo ya tatu mfululizo, Yanga inafikisha pointi 57 katika mchezo wa 23 na kuendelea kuongoza ligi kwa pointi 11 zaidi ya mabingwa watetezi, Simba ambao wenyewe wana mechi moja mkononi.

Tanzania Prisons inafikisha pointi 23, mechi ya 23 nafasi ya 14 kwenye ligi ya timu 16, ambayo mwisho wa msimu mbili zitashuka na mbili zitakwenda kumenyana na timu za Championship kuwania kubaki Ligi Kuu.

[QUOTE="vuligate, post: 1463, member: 123"] [HEADING=2]YANGA YATOA SARE TENA, 0-0 NA PRISONS, MAYELE...[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjset6W2qYfRRI8h09vnHWB50lILhlnw9EGUy4qZQrf-tRl8IWYawWw_08Whg4BSDsUTAQNSs8bA4tYT_uQBd0JYe2thOmLXLZF7MOI63jliOpV7sCQnq3aiQbuui_KCgV3A3vovVOARGIAgjd8fPx4FV-peT4hnWdSmBQyQ7H-UsSc9CCR-yv_fmcQ/s1242/33315BB8-2EBA-4F6F-86DF-DDA6762A2C9F.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjset6W2qYfRRI8h09vnHWB50lILhlnw9EGUy4qZQrf-tRl8IWYawWw_08Whg4BSDsUTAQNSs8bA4tYT_uQBd0JYe2thOmLXLZF7MOI63jliOpV7sCQnq3aiQbuui_KCgV3A3vovVOARGIAgjd8fPx4FV-peT4hnWdSmBQyQ7H-UsSc9CCR-yv_fmcQ/w640-h434/33315BB8-2EBA-4F6F-86DF-DDA6762A2C9F.jpeg[/IMG][/URL] WENYEJI, Yanga SC wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Mshambuliaji Mkongo, Fiston Kalala Mayele atalala na mawazo leo baada ya kuikosesha nafasi mbili nzuri Yanga za kupata mabao kipindi cha kwanza. Kwanza alipewa pasi nzuri na kiungo Feisal Salum dakika ya 12, lakini akashindwa kufanya maamuzi ya haraka hadi beki wa Prisons akatokea na kuondosha kwenye hatari. Baadaye dakika ya 39 akaenda kupiga juu mkwaju wa penalti kufuatia Feisal kuangushwa kwenye boksi. [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj1Hq53KVB95n1DvlE0LFE3sX3X_gVNIy2b9KvW9rcq3syTtrnt7mlAk8ExudecVFR8fGkRf1R5FzVnzfwQp3VnXRYniIx4XqQgYObKTuwCblTgRyKzg5fkgfqat21BC7teje-M6vccHLsSR5GjCt6313kVFb02Z2JnU_3ieQM3oOmVjJ20CM1Ix0ma/s1242/7A795914-CB42-4E47-B55C-33E252F94F22.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj1Hq53KVB95n1DvlE0LFE3sX3X_gVNIy2b9KvW9rcq3syTtrnt7mlAk8ExudecVFR8fGkRf1R5FzVnzfwQp3VnXRYniIx4XqQgYObKTuwCblTgRyKzg5fkgfqat21BC7teje-M6vccHLsSR5GjCt6313kVFb02Z2JnU_3ieQM3oOmVjJ20CM1Ix0ma/w640-h544/7A795914-CB42-4E47-B55C-33E252F94F22.jpeg[/IMG][/URL] Kwa sare hiyo ya tatu mfululizo, Yanga inafikisha pointi 57 katika mchezo wa 23 na kuendelea kuongoza ligi kwa pointi 11 zaidi ya mabingwa watetezi, Simba ambao wenyewe wana mechi moja mkononi. Tanzania Prisons inafikisha pointi 23, mechi ya 23 nafasi ya 14 kwenye ligi ya timu 16, ambayo mwisho wa msimu mbili zitashuka na mbili zitakwenda kumenyana na timu za Championship kuwania kubaki Ligi Kuu. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom