Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

YANGA SC YAZINDUKA, YAICHAPA DODOMA JIJI 2-0 JAMHURI

VIGOGO, Yanga SC wamezinduka baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.

Ushindi huo wa kwanza katika mechi nne umetokana na mabao ya kiungo Dickson Ambundo dakika ya 11 akiiadhibu timu yake ya zamani na kipa Mohamed Yussuf aliyeudondeshea mpira langoni mwake katika harakati za kuokoa shuti la Zawadi Mauya dakika ya 35.

Yanga inafikisha pointi 60 katika mechi ya 24 na kuendelea kuongoza ligi kwa pointi 11 zaidi ya mabingwa watetezi, Simba ambao hata hivyo wana mechi moja mkononi.

Dodoma Jiji inabaki na pointi zake 28 za mechi 24 nafasi ya 10 sasa.

[QUOTE="Amir, post: 1473, member: 20"] [HEADING=2]YANGA SC YAZINDUKA, YAICHAPA DODOMA JIJI 2-0 JAMHURI[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh4LSlLZRvetEdZTRJ8ecvSXfzaBlSkp6asqkTBQIxckrpZ652fZ6xwPn1epR4WcFAVospTpLU-293drRS4_nyEzj1FLyDrmik7gvwrgc4lRQ9a5SNONDfFGbxQrnHiv7SPvpwiJeM94P-vPEjYPdOl00KotM_dH9RuoPutr4J91iuM-l0Pq6KDU61B/s1242/0E99AA64-5F03-4033-928C-247F45FD5263.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh4LSlLZRvetEdZTRJ8ecvSXfzaBlSkp6asqkTBQIxckrpZ652fZ6xwPn1epR4WcFAVospTpLU-293drRS4_nyEzj1FLyDrmik7gvwrgc4lRQ9a5SNONDfFGbxQrnHiv7SPvpwiJeM94P-vPEjYPdOl00KotM_dH9RuoPutr4J91iuM-l0Pq6KDU61B/w640-h566/0E99AA64-5F03-4033-928C-247F45FD5263.jpeg[/IMG][/URL] VIGOGO, Yanga SC wamezinduka baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Ushindi huo wa kwanza katika mechi nne umetokana na mabao ya kiungo Dickson Ambundo dakika ya 11 akiiadhibu timu yake ya zamani na kipa Mohamed Yussuf aliyeudondeshea mpira langoni mwake katika harakati za kuokoa shuti la Zawadi Mauya dakika ya 35. Yanga inafikisha pointi 60 katika mechi ya 24 na kuendelea kuongoza ligi kwa pointi 11 zaidi ya mabingwa watetezi, Simba ambao hata hivyo wana mechi moja mkononi. Dodoma Jiji inabaki na pointi zake 28 za mechi 24 nafasi ya 10 sasa. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom