Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

[ATTACH=full]363[/ATTACH]

BACCA HUU NI MUDA WA VITENDO SIO MANENO.

Wakati yanga wanamtambulisha beki Ibrahim Bacca kutoka KMKM ya Zanzibar, jicho lao mashabiki wa Yanga ni kuwa sasa wamepata mrithi wa Nadir Haroub Canavaro.

Ni michezo miwili ya ligi kuu iliyopita dhidi ya KMC na Geita Golg Bacca ameonekana kuonesha uwezo wake mkubwa katika mechi hizo, Ukuta wa Yanga ukiwa chini ya uangalizi wa Ibrahim Bacca na Job ulibaki salama na Yanga kutoka na "Clean sheet"

Ni mchezaji aliyekaa benchi kwa muda mrefu ila ameonesha kuwa bora zaidi na kukiwasha kwa viwango vya juuu

Bacca anasema kuelekea mchezo wa kombe la Shirikisho la CAF, dhidi ya Club Africain, " Huu ni muda wa vitendo na sio maneno tena"

[QUOTE="Brenda, post: 1536, member: 464"] [ATTACH type="full"]363[/ATTACH] BACCA HUU NI MUDA WA VITENDO SIO MANENO. Wakati yanga wanamtambulisha beki Ibrahim Bacca kutoka KMKM ya Zanzibar, jicho lao mashabiki wa Yanga ni kuwa sasa wamepata mrithi wa Nadir Haroub Canavaro. Ni michezo miwili ya ligi kuu iliyopita dhidi ya KMC na Geita Golg Bacca ameonekana kuonesha uwezo wake mkubwa katika mechi hizo, Ukuta wa Yanga ukiwa chini ya uangalizi wa Ibrahim Bacca na Job ulibaki salama na Yanga kutoka na "Clean sheet" Ni mchezaji aliyekaa benchi kwa muda mrefu ila ameonesha kuwa bora zaidi na kukiwasha kwa viwango vya juuu Bacca anasema kuelekea mchezo wa kombe la Shirikisho la CAF, dhidi ya Club Africain, [I]" Huu ni muda wa vitendo na sio maneno tena"[/I] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom