Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mukoko ampa jezi Waziri Jr

KIUNGO wa Yanga, Mukoko Tonombe amempa jezi mshambuliaji wa zamani wa timu hiyo, Waziri Junior kabla ya mchezo kuanza.

Yanga huwa na kawaida ya kugawa jezi kwa mashabiki wake kila mchezo unapokuwa unaanza.

Katika mchezo huo wakati wachezaji wa Yanga wakiwa wanaenda kugawa jezi kwa mashabiki, Mukoko yeye alimfuata Junior kisha alimnyanyua na kumpa jezi hiyo.

Junior alipoipokea alipiga picha na Mukoko huku akiishika jezi hiyo kisha akakaa na Mukoko akarudi kwenye benchi lake.

Mukoko na Junior msimu uliopita walikuwa pamoja katika kikosi cha Yanga kabla ya mmoja kuondoka kwenye timu hiyo.

[QUOTE="Amir, post: 233, member: 20"] [HEADING=1]Mukoko ampa jezi Waziri Jr[/HEADING] [IMG]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3668848/landscape_ratio16x9/1160/652/b95ed5c8fec5633bbee65fe5fa1f3f95/OD/mukoko-pi.jpg[/IMG] KIUNGO wa Yanga, Mukoko Tonombe amempa jezi mshambuliaji wa zamani wa timu hiyo, Waziri Junior kabla ya mchezo kuanza. Yanga huwa na kawaida ya kugawa jezi kwa mashabiki wake kila mchezo unapokuwa unaanza. Katika mchezo huo wakati wachezaji wa Yanga wakiwa wanaenda kugawa jezi kwa mashabiki, Mukoko yeye alimfuata Junior kisha alimnyanyua na kumpa jezi hiyo. Junior alipoipokea alipiga picha na Mukoko huku akiishika jezi hiyo kisha akakaa na Mukoko akarudi kwenye benchi lake. Mukoko na Junior msimu uliopita walikuwa pamoja katika kikosi cha Yanga kabla ya mmoja kuondoka kwenye timu hiyo. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom