Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

YANGA YAINGIA MKATABA NA MAKAMPUNI MAWILI KWA MPIGO.

[ATTACH=full]177[/ATTACH]

MAKAMU Mwenyekiti wa Yanga, Fredrick Mwakalebela, Mtendaji mkuu wa klabu, Senzo Mazingiza pamoja na Mkurugenzi mtendaji wa Kilinet Mohammed Saleh na Mkuu wa bidhaa ya N-Card Khalifa Mwinyi wakisaini mkataba wa

makubaliano na Kampuni za KILINET na N-Cards kwa ajili ya kutengeneza kadi za kidigitali zitazokuwa zinatumiwa na wanachama, ikiwa ni sehemu ya hatua za awali za mfumo mpya wa uendeshaji wa klabu. Kadi moja itauzwa kwa Sh. 29,000.

Yanga imeingia mkataba na kampuni za Kili- Net na N-Card kwa masuala tofauti - Kili Net – wakipewa jukumu la kusimamia na kuendesha mfumo Kidigitali, yaani kushughulikia Digital Plaoform za Yanga, usjaili wa wanachama na Social Media za klabu, wakati N-Card watafanya jukumu la kutengeneza kadi za uanachama ambazo zitawawezesha wanachama kununulia za Kielektroniki pia.

[QUOTE="vuligate, post: 286, member: 123"] [HEADING=2]YANGA YAINGIA MKATABA NA MAKAMPUNI MAWILI KWA MPIGO.[/HEADING] [ATTACH type="full"]177[/ATTACH] MAKAMU Mwenyekiti wa Yanga, Fredrick Mwakalebela, Mtendaji mkuu wa klabu, Senzo Mazingiza pamoja na Mkurugenzi mtendaji wa Kilinet Mohammed Saleh na Mkuu wa bidhaa ya N-Card Khalifa Mwinyi wakisaini mkataba wa makubaliano na Kampuni za KILINET na N-Cards kwa ajili ya kutengeneza kadi za kidigitali zitazokuwa zinatumiwa na wanachama, ikiwa ni sehemu ya hatua za awali za mfumo mpya wa uendeshaji wa klabu. Kadi moja itauzwa kwa Sh. 29,000. Yanga imeingia mkataba na kampuni za Kili- Net na N-Card kwa masuala tofauti - Kili Net – wakipewa jukumu la kusimamia na kuendesha mfumo Kidigitali, yaani kushughulikia Digital Plaoform za Yanga, usjaili wa wanachama na Social Media za klabu, wakati N-Card watafanya jukumu la kutengeneza kadi za uanachama ambazo zitawawezesha wanachama kununulia za Kielektroniki pia. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom