Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mukoko aigomea Yanga, GSM aingilia kati.

DILI la kiungo na nahodha msaidizi wa Yanga, Mukoko Tonombe kwenda TP Mazembe ya DR Congo, limekufa baada ya nyota huyo kugoma kutolewa kwa mkopo katika klabu hiyo, huku bilionea wa klabu hiyo Ghalib Mohamed ‘GSM’ akiingilia kati.

Mabosi wa Yanga walishakubaliana na mchezaji huyo kwenda Mazembe baada ya kuona hapati nafasi katika kikosi cha kwanza cha Nasreddine Nabi, pia ili kupishana na Chico Ushindi ambaye jana alitambulishwa Tanga akitokea Mazembe.

Katika dili la Yanga kumtaka Ushindi walitaka kumpeleka Mukoko na makubaliano mengine ili kumpata winga huyo mwenye spidi na uwezo wa kuitumikia vizuri nafasi hiyo na tayari Mukoko alifanyiwa taratibu zote za kusafiri kwenda DR Congo pamoja na mambo mengine ya msingi ikiwemo kutumiwa tiketi ya ndege saa 9:00 alfajiri ya Jumamosi kwenda Lubumbashi kujiunga na kikosi hicho.

Hata hivyo, Mukoko aligomea safari hiyo na kwenda kuzungumza na mdhamini wa klabu ya Yanga, bilionea Ghalib Said Mohammed ‘GSM’ juu ya yote anayopitia.

Inaelezwa hatma ya katika kikao hicho kizito kati ya Mukoko na GSM, ilikuwa ni mchezaji huyo kutokwenda tena DR Congo kujiunga na Mazembe na badala yake kukatiwa tiketi ya kwenda Arusha kuisubiri Yanga iliyokuwa Tanga ikicheza na Coastal Union katika mfululizo wa mechi za Ligi Kuu jana Uwanja wa Mkwakwani.

Mukoko alisema mbali ya kufanya taratibu zote alishindwa kusafiri kutokana na kushindwa kufahamu hatma yake kwamba anaenda TP Mazembe kama mchezaji wa mkopo au anauzwa moja kwa moja na kumfanya amuone GSM.

“Bosi ameniambia nisiende kokote nitabaki hapa Yanga mpaka mwisho wa msimu utakapomalizika na baada ya hapo ndio kutakuwa na mazungumzo mengine kati yetu,” alisema Mukoko na kuongeza;

“Nimeambiwa keshokutwa nitapewa tiketi ya ndege kwenda kujiunga na timu kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Polisi Tanzania.”

[QUOTE="Amir, post: 429, member: 20"] [HEADING=1]Mukoko aigomea Yanga, GSM aingilia kati.[/HEADING] [IMG alt="Mukoko PI"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3685448/landscape_ratio16x9/1160/652/533d7ae9f3bbc5250a029745d25d5d94/eq/mukoko-pi.jpg[/IMG] DILI la kiungo na nahodha msaidizi wa Yanga, Mukoko Tonombe kwenda TP Mazembe ya DR Congo, limekufa baada ya nyota huyo kugoma kutolewa kwa mkopo katika klabu hiyo, huku bilionea wa klabu hiyo Ghalib Mohamed ‘GSM’ akiingilia kati. Mabosi wa Yanga walishakubaliana na mchezaji huyo kwenda Mazembe baada ya kuona hapati nafasi katika kikosi cha kwanza cha Nasreddine Nabi, pia ili kupishana na Chico Ushindi ambaye jana alitambulishwa Tanga akitokea Mazembe. Katika dili la Yanga kumtaka Ushindi walitaka kumpeleka Mukoko na makubaliano mengine ili kumpata winga huyo mwenye spidi na uwezo wa kuitumikia vizuri nafasi hiyo na tayari Mukoko alifanyiwa taratibu zote za kusafiri kwenda DR Congo pamoja na mambo mengine ya msingi ikiwemo kutumiwa tiketi ya ndege saa 9:00 alfajiri ya Jumamosi kwenda Lubumbashi kujiunga na kikosi hicho. Hata hivyo, Mukoko aligomea safari hiyo na kwenda kuzungumza na mdhamini wa klabu ya Yanga, bilionea Ghalib Said Mohammed ‘GSM’ juu ya yote anayopitia. Inaelezwa hatma ya katika kikao hicho kizito kati ya Mukoko na GSM, ilikuwa ni mchezaji huyo kutokwenda tena DR Congo kujiunga na Mazembe na badala yake kukatiwa tiketi ya kwenda Arusha kuisubiri Yanga iliyokuwa Tanga ikicheza na Coastal Union katika mfululizo wa mechi za Ligi Kuu jana Uwanja wa Mkwakwani. Mukoko alisema mbali ya kufanya taratibu zote alishindwa kusafiri kutokana na kushindwa kufahamu hatma yake kwamba anaenda TP Mazembe kama mchezaji wa mkopo au anauzwa moja kwa moja na kumfanya amuone GSM. “Bosi ameniambia nisiende kokote nitabaki hapa Yanga mpaka mwisho wa msimu utakapomalizika na baada ya hapo ndio kutakuwa na mazungumzo mengine kati yetu,” alisema Mukoko na kuongeza; “Nimeambiwa keshokutwa nitapewa tiketi ya ndege kwenda kujiunga na timu kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Polisi Tanzania.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom