Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MUKOKO AFUNGA PENALTI MBILI, YANGA YASHINDA 2-0 ARUSHA

VINARA wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Mbuni FC ya Monduli katika mchezo wa kirafiki jioni ya leo Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.

Mabao yote ya Yanga yamefungwa na kiungo wa kimataifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Mukoko Tonombe aliyekuwa anacheza kama sentahafu leo.

Tonombe amefunga mabao yote hayo kwa penalti kipindi cha pili, la kwanza baada ya beki wa Mbuni kuunawa mpira kwenye boksi dakika ya 56 na la pili baada ya Mkongo mwenzake, Chico Ushindi kuangushwa kwenye boksi dakika ya 82.

Ushindi amecheza mechi ya kwanza Yanga leo baada ya kusajiliwa mwishoni mwa wiki kutoka TP Mazembe ya kwao, Kinshasa.

Yanga imeutumia mchezo huu kama sehemu ya maandalizi ya mechi yake ijayo ya Ligi Kuu dhidi ya wenyeji, Polisi Tanzania Jumapili Uwanja wa Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.

[QUOTE="Amir, post: 451, member: 20"] [HEADING=2]MUKOKO AFUNGA PENALTI MBILI, YANGA YASHINDA 2-0 ARUSHA[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiH7VKtIEfiaiTmWggr-Vxp-EzE9Q9kS4HInJa_zzvjChRUZ9MO-o1DA76DtfiZdv8KPrMxfzAnxV_Yd_dF1ZyWo6wyTolGCEx-cOtJ1fVN6kH0mpcdjUgjgthH5ZBq2f1NfRG7uo01nD6tHI_7EMSUI_5ocnWVutF1GXT8PccHQ123CJfbr7Z2vord=w640-h544[/IMG] VINARA wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Mbuni FC ya Monduli katika mchezo wa kirafiki jioni ya leo Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. Mabao yote ya Yanga yamefungwa na kiungo wa kimataifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Mukoko Tonombe aliyekuwa anacheza kama sentahafu leo. Tonombe amefunga mabao yote hayo kwa penalti kipindi cha pili, la kwanza baada ya beki wa Mbuni kuunawa mpira kwenye boksi dakika ya 56 na la pili baada ya Mkongo mwenzake, Chico Ushindi kuangushwa kwenye boksi dakika ya 82.[IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjKJs_apY_HkzUjgzxJuoapFkQKpWiZKSfDruQ6R9Pfz675MpyUobsS79JkiZYwqP59k5tye7kzfds64bYCe3vfNVMHNlpfSIBQEHLwwjpUx0eeBdQN0weHYQ4Lig5U6zpQoLaXbWn3l090eJTgFIZG-HaCbrXlMzieeEW8-BpT-zSQUZ1Dq9a3JMni=w640-h612[/IMG] Ushindi amecheza mechi ya kwanza Yanga leo baada ya kusajiliwa mwishoni mwa wiki kutoka TP Mazembe ya kwao, Kinshasa. Yanga imeutumia mchezo huu kama sehemu ya maandalizi ya mechi yake ijayo ya Ligi Kuu dhidi ya wenyeji, Polisi Tanzania Jumapili Uwanja wa Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom