Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Yanga Waishtukia Simba Kwa Bangala

YANGA ni kama wameshtukia kitu vile, ni baada ya mabosi wa timu hiyo kumuongezea mkataba wa mwaka mmoja kiraka wake Mkongomani, Yannick Bangala na kufikisha miaka miwili ya kuendelea kukipiga hapo.

Hiyo ikiwa ni siku chache tangu tetesi zienee za kiungo mkabaji wa timu hiyo, Mkongomani Mukoko Tonombe kugomea kuuzwa TP Mazembe ya nchini DR Congo.

Bangala alijiunga na Yanga katika msimu huu akitokea FAR Rabat ya nchini Morocco baada ya kuvunja mkataba wa kuendelea kukipiga huko kabla ya kutua Jangwani.

Mmoja wa mabosi wa timu hiyo, ameliambia Championi Jumatano kuwa, kiungo huyo wiki mbili zilizopita mabosi wa timu hiyo walimuongezea mkataba wa mwaka mmoja na kufikisha miwili baada ya ule wa awali

kubakisha miezi sita.

Bosi huyo alisema kuwa viongozi wa timu hiyo walishtukia kiraka huyo kuwepo katika mazungumzo na klabu yake ya zamani ya FAR Rabat aliyokuwa anaichezea.

Aliongeza kuwa pia uongozi wa timu hiyo ulishtukia kuzidiwa ujanja na watani wao Simba na haraka kumuongezea mkataba wa kuendelea kubakia kukipiga hapo kwa misimu miwili.

“Yanga ipo katika mazungumzo na baadhi ya wachezaji wake ambao mikataba yao imebakisha miezi sita na kati ya hao yupo Bangala ambaye tayari wamemuongezea mkataba wa mwaka mmoja.

“Bangala alisaini mkataba wa mwaka mmoja baadaya viongozi kuhofia kiwango chake, lakini baada ya kujiridhisha haraka wakamuongezea mkataba mwingine wa mwaka mmoja na kufikisha miwili.

“Kikubwa viongozi walihofia kutokea kile kilichotokea kama cha Morrison (Bernard) ambaye walimpa mkataba wa miezi sita wakati inaelekea kumalizika haraka Simba wakamuwahi na kumsajili,” alisema bosi huyo.

Alipotafutwa Ofisa Habari wa timu hiyo, Hassani Bumbuli kuzungumzia hilo simu yake ya mkononi

iliita bila ya mafanikio ya kupokelewa.

[QUOTE="Amir, post: 461, member: 20"] [HEADING=1]Yanga Waishtukia Simba Kwa Bangala[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/bangala-1.jpg[/IMG] YANGA ni kama wameshtukia kitu vile, ni baada ya mabosi wa timu hiyo kumuongezea mkataba wa mwaka mmoja kiraka wake Mkongomani, Yannick Bangala na kufikisha miaka miwili ya kuendelea kukipiga hapo. Hiyo ikiwa ni siku chache tangu tetesi zienee za kiungo mkabaji wa timu hiyo, Mkongomani Mukoko Tonombe kugomea kuuzwa TP Mazembe ya nchini DR Congo. Bangala alijiunga na Yanga katika msimu huu akitokea FAR Rabat ya nchini Morocco baada ya kuvunja mkataba wa kuendelea kukipiga huko kabla ya kutua Jangwani. Mmoja wa mabosi wa timu hiyo, ameliambia Championi Jumatano kuwa, kiungo huyo wiki mbili zilizopita mabosi wa timu hiyo walimuongezea mkataba wa mwaka mmoja na kufikisha miwili baada ya ule wa awali kubakisha miezi sita. Bosi huyo alisema kuwa viongozi wa timu hiyo walishtukia kiraka huyo kuwepo katika mazungumzo na klabu yake ya zamani ya FAR Rabat aliyokuwa anaichezea. Aliongeza kuwa pia uongozi wa timu hiyo ulishtukia kuzidiwa ujanja na watani wao Simba na haraka kumuongezea mkataba wa kuendelea kubakia kukipiga hapo kwa misimu miwili. “Yanga ipo katika mazungumzo na baadhi ya wachezaji wake ambao mikataba yao imebakisha miezi sita na kati ya hao yupo Bangala ambaye tayari wamemuongezea mkataba wa mwaka mmoja. “Bangala alisaini mkataba wa mwaka mmoja baadaya viongozi kuhofia kiwango chake, lakini baada ya kujiridhisha haraka wakamuongezea mkataba mwingine wa mwaka mmoja na kufikisha miwili. “Kikubwa viongozi walihofia kutokea kile kilichotokea kama cha Morrison (Bernard) ambaye walimpa mkataba wa miezi sita wakati inaelekea kumalizika haraka Simba wakamuwahi na kumsajili,” alisema bosi huyo. Alipotafutwa Ofisa Habari wa timu hiyo, Hassani Bumbuli kuzungumzia hilo simu yake ya mkononi iliita bila ya mafanikio ya kupokelewa. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom