Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kocha Yanga Amtaja Mshery.

KOCHA mpya wa makipa wa Yanga, Mbrazili, Milton Nienov amefunguka kuwa usajili wa kipa, Aboutwalib Mshery ni usajili bora kufanywa na klabu hiyo kutokana na ubora wake, Kocha huyo ameweka wazi kuwa ameanza na suala la kuhakikisha makipa wa timu hiyo wanahimili presha ya michezo mikubwa.

Milton alitambulishwa rasmi na Yanga Jumapili iliyopita kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga, ambapo alikuwa sehemu ya mashuhuda wa mchezo kati ya Coastal Union dhidi ya Yanga huku Yanga wakiibuka na ushindi wa mabao 2-0.

Kabla ya kujiunga na Yanga, Milton alikuwa akihudumu kama kocha wa makipa wa Simba kabla ya kuachana nao Oktoba 26, mwaka jana muda mfupi baada ya Simba kuondolewa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Kuhusu kiwango cha makipa wa timu hiyo, Milton amesema:-“Siwezi kuzungumza mengi kuhusiana na uwezo wa makipa wetu kwa sasa, kwa kuwa ndiyo kwanza nimefika hapa lakini katika vipindi vichache vya mazoezi ambavyo nimekuwa pamoja nao naweza kusema tuna makipa bora sana.

“Huyu Mshery ni kijana mdogo na mwenye uwezo mkubwa sana, naamini ulikuwa usajili bora kwetu, niliona alikuwa na presha kidogo kwenye mchezo dhidi ya Coastal na nimepanga kuhakikisha nalifanyia kazi hilo kwa kuwa ni muhimu kwa kipa kuhimili presha ya michezo mikubwa ili kutofanya makosa,”.

[QUOTE="Amir, post: 463, member: 20"] [HEADING=1]Kocha Yanga Amtaja Mshery.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2021/12/Aboutwalib-Hamidu-Mshery-1.jpg[/IMG] KOCHA mpya wa makipa wa Yanga, Mbrazili, Milton Nienov amefunguka kuwa usajili wa kipa, Aboutwalib Mshery ni usajili bora kufanywa na klabu hiyo kutokana na ubora wake, Kocha huyo ameweka wazi kuwa ameanza na suala la kuhakikisha makipa wa timu hiyo wanahimili presha ya michezo mikubwa. Milton alitambulishwa rasmi na Yanga Jumapili iliyopita kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga, ambapo alikuwa sehemu ya mashuhuda wa mchezo kati ya Coastal Union dhidi ya Yanga huku Yanga wakiibuka na ushindi wa mabao 2-0. Kabla ya kujiunga na Yanga, Milton alikuwa akihudumu kama kocha wa makipa wa Simba kabla ya kuachana nao Oktoba 26, mwaka jana muda mfupi baada ya Simba kuondolewa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Kuhusu kiwango cha makipa wa timu hiyo, Milton amesema:-“Siwezi kuzungumza mengi kuhusiana na uwezo wa makipa wetu kwa sasa, kwa kuwa ndiyo kwanza nimefika hapa lakini katika vipindi vichache vya mazoezi ambavyo nimekuwa pamoja nao naweza kusema tuna makipa bora sana. “Huyu Mshery ni kijana mdogo na mwenye uwezo mkubwa sana, naamini ulikuwa usajili bora kwetu, niliona alikuwa na presha kidogo kwenye mchezo dhidi ya Coastal na nimepanga kuhakikisha nalifanyia kazi hilo kwa kuwa ni muhimu kwa kipa kuhimili presha ya michezo mikubwa ili kutofanya makosa,”. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom