Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Yanga: Tunazidi Kuimarika.

CEDRICK Kaze, Kocha Msaidizi wa Yanga ameweka wazi kwamba kikosi hicho kinazidi kuimarika taratibu kutokana na mechi ambazo wanacheza.

Mpaka sasa ndani ya Ligi Kuu Bara, Yanga haijapoteza mchezo kwenye ligi na inaongoza ligiikiwa na pointi 32.

Jana Januari 18, Yanga ilikuwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Mbuni FC ambapo iliweza kushinda mabao 2-0 na mtupiaji alikuwa ni Tonombe Mukoko aliyefunga mabao hayo kwa penalti.

Kaze amesema:”Tunazidi kuimarika taratibu na kila mchezaji anajua kwamba kuna jambo ambalo tunahitaji kulifanya na tunazidi kupambana.

“Ushindi mbele ya Mbuni kwetu ni jambo kubwa hasa kuendelea kuwa kwenye hali ya kujiamini zaidi bado kazi inaendelea na tutazidi kupambana ili kupata matokeo zaidi,”.

Miongoni mwa nyota ambao walianza jana ni pamoja na Heritier Makambo huku Chico Ushindi yeye akianzia benhi na aliweza kupata muda wa kucheza pamoja na Crispiin Ngushi ambaye ni ingizo jipya pia kutoka Mbeya Kwanza.

[QUOTE="Amir, post: 464, member: 20"] [HEADING=1]Yanga: Tunazidi Kuimarika.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/YANGA-HATARI.jpeg[/IMG] CEDRICK Kaze, Kocha Msaidizi wa Yanga ameweka wazi kwamba kikosi hicho kinazidi kuimarika taratibu kutokana na mechi ambazo wanacheza. Mpaka sasa ndani ya Ligi Kuu Bara, Yanga haijapoteza mchezo kwenye ligi na inaongoza ligiikiwa na pointi 32. Jana Januari 18, Yanga ilikuwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Mbuni FC ambapo iliweza kushinda mabao 2-0 na mtupiaji alikuwa ni Tonombe Mukoko aliyefunga mabao hayo kwa penalti. Kaze amesema:”Tunazidi kuimarika taratibu na kila mchezaji anajua kwamba kuna jambo ambalo tunahitaji kulifanya na tunazidi kupambana. “Ushindi mbele ya Mbuni kwetu ni jambo kubwa hasa kuendelea kuwa kwenye hali ya kujiamini zaidi bado kazi inaendelea na tutazidi kupambana ili kupata matokeo zaidi,”. Miongoni mwa nyota ambao walianza jana ni pamoja na Heritier Makambo huku Chico Ushindi yeye akianzia benhi na aliweza kupata muda wa kucheza pamoja na Crispiin Ngushi ambaye ni ingizo jipya pia kutoka Mbeya Kwanza. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom