Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Bacca Aaanza Kazi Yanga Kwa Mkwara.

BEKI mpya wa Yanga, Ibrahim Abdallah ‘Bacca’ amesema licha ya kutua kwenye timu hiyo huku ikiwa na nyota kadhaa wa nafasi anayocheza, lakini bado anaamini kwa kipaji alichonacho atapambana na uamuzi wa mwisho utakuwa kwa kocha wao.

Akizungumza hivi karibuni Bacca alisema anaifahamu Yanga na hajakurupuka kumwaga wino, ila ameona nafasi yake ya kucheza nddio maana akajiunga timu hiyo huku akiweka wazi kuwa anawaheshimu wachezaji wote wa timu hiyo.

“Yanga ni timu ya presha kubwa kutokana na kuwa na mashabiki wengi ambao wanahitaji matokeo mazuri, hilo nalifahamu ila sitafanya makosa nawaomba wanipokee na kunipa ushirikiano ili niweze kuwa miongoni mwa wachezaji ambao watafanikisha malengo ya klabu,” alisema Bacca na kuongeza;

“Naheshimu uwezo wa Dickson Job, Bakari Mwamnyeto na kaka yangu Abdallah Shaibu ‘Ninja’ kila mmoja ana namna yake ya uchezaji na umuhimu wake kikosini kocha ndiye atakayeamua amtumie na amuache nani kwani hatuwezi kucheza wote.”

Beki huyo kutoka KMKM na aliyeng’ara katika michuano ya Mapinduzi alisema ametumia muda mwingi kuwafuatilia mastaa wanaocheza nafasi yake kwa kuangalia ubora wao na mapungufu yao ili aweze kuwa na vitu vya tofauti vitakavyompa ushawishi kocha kumpa nafasi anaamini hivyo ndio vitampa namba.

“Kucheza timu kama Yanga inahitaji ubunifu kila mchezaji anatamani kupata nafasi kama niliyoipata kwa kusajiliwa kinachofuata ni kujituma na kufanya vitu tofauti na waliokutangulia najiona nikiwa bora na kufanya tofauti,” alisema Bacca.

[QUOTE="Amir, post: 478, member: 20"] [HEADING=1]Bacca Aaanza Kazi Yanga Kwa Mkwara.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/bacca.jpg[/IMG] BEKI mpya wa Yanga, Ibrahim Abdallah ‘Bacca’ amesema licha ya kutua kwenye timu hiyo huku ikiwa na nyota kadhaa wa nafasi anayocheza, lakini bado anaamini kwa kipaji alichonacho atapambana na uamuzi wa mwisho utakuwa kwa kocha wao. Akizungumza hivi karibuni Bacca alisema anaifahamu Yanga na hajakurupuka kumwaga wino, ila ameona nafasi yake ya kucheza nddio maana akajiunga timu hiyo huku akiweka wazi kuwa anawaheshimu wachezaji wote wa timu hiyo. “Yanga ni timu ya presha kubwa kutokana na kuwa na mashabiki wengi ambao wanahitaji matokeo mazuri, hilo nalifahamu ila sitafanya makosa nawaomba wanipokee na kunipa ushirikiano ili niweze kuwa miongoni mwa wachezaji ambao watafanikisha malengo ya klabu,” alisema Bacca na kuongeza; “Naheshimu uwezo wa Dickson Job, Bakari Mwamnyeto na kaka yangu Abdallah Shaibu ‘Ninja’ kila mmoja ana namna yake ya uchezaji na umuhimu wake kikosini kocha ndiye atakayeamua amtumie na amuache nani kwani hatuwezi kucheza wote.” Beki huyo kutoka KMKM na aliyeng’ara katika michuano ya Mapinduzi alisema ametumia muda mwingi kuwafuatilia mastaa wanaocheza nafasi yake kwa kuangalia ubora wao na mapungufu yao ili aweze kuwa na vitu vya tofauti vitakavyompa ushawishi kocha kumpa nafasi anaamini hivyo ndio vitampa namba. “Kucheza timu kama Yanga inahitaji ubunifu kila mchezaji anatamani kupata nafasi kama niliyoipata kwa kusajiliwa kinachofuata ni kujituma na kufanya vitu tofauti na waliokutangulia najiona nikiwa bora na kufanya tofauti,” alisema Bacca. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom