Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mayanga, Mayele Wana Vita Yao.

UKIWEKA kando ile vita ya kusaka pointi tatu leo Uwanja wa Sheikh Amri Abeid uliopo Arusha kati ya Polisi

Tanzania inayonolewa na Malale Hamsini dhidi ya Yanga inayonolewa na Nasreddine Nabi, kuna bato ya ufungaji bora.

Bato hiyo ya kibabe inatarajiwa kuwashuhudia washambuliaji wawili ambao ni namba moja kwenye timu zao ambapo ni Vitalis Mayanga kwa upande wa Polisi Tanzania na Fiston Mayele kwa upande wa Yanga.

Mayanga ametupia mabao matano kibindoni kati ya11 na ametoa pasi tatu za mabao na kumfanya ahusike kwenye mabao nane, huku Mayele akiwa ametoa pasi moja ya bao na kufunga mabao sita na kumfanya ahusike kwenye mabao saba.

Ni mechi 11 kati ya 12 Mayanga ameanza kikosi cha kwanza ndani ya Polisi Tanzania, huku Mayele akiwa amecheza mechi zote 12.

Katika mchezo huo wa leo, wawili hao wanatarajiwa kuziongoza timu zao kusaka ushindi kwani wana uhakika wa kuanza kila wanapokuwa fiti.

[QUOTE="vuligate, post: 509, member: 123"] [HEADING=1]Mayanga, Mayele Wana Vita Yao.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/yangasc_271892792_662952828229685_5039591577653457978_n.jpg[/IMG] UKIWEKA kando ile vita ya kusaka pointi tatu leo Uwanja wa Sheikh Amri Abeid uliopo Arusha kati ya Polisi Tanzania inayonolewa na Malale Hamsini dhidi ya Yanga inayonolewa na Nasreddine Nabi, kuna bato ya ufungaji bora. Bato hiyo ya kibabe inatarajiwa kuwashuhudia washambuliaji wawili ambao ni namba moja kwenye timu zao ambapo ni Vitalis Mayanga kwa upande wa Polisi Tanzania na Fiston Mayele kwa upande wa Yanga. Mayanga ametupia mabao matano kibindoni kati ya11 na ametoa pasi tatu za mabao na kumfanya ahusike kwenye mabao nane, huku Mayele akiwa ametoa pasi moja ya bao na kufunga mabao sita na kumfanya ahusike kwenye mabao saba. Ni mechi 11 kati ya 12 Mayanga ameanza kikosi cha kwanza ndani ya Polisi Tanzania, huku Mayele akiwa amecheza mechi zote 12. Katika mchezo huo wa leo, wawili hao wanatarajiwa kuziongoza timu zao kusaka ushindi kwani wana uhakika wa kuanza kila wanapokuwa fiti. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom