Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Chico Apewa Majukumu ya Moloko Yanga.

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Polisi Tanzania, amempa Chiko Ushindi majukumu ya Jesus Moloko.

Chico anatarajiwa kuwa miongoni mwa wachezaji watakaoonekana kwenye kikosi cha Yanga kinachotarajia kucheza mchezo huo utakaopigwa leo Jumapili kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha.

Chanzo kutoka ndani ya Yanga, kimeliambia Spoti Xtra, kuwa: “Chico amesajiliwa kwenye kikosi cha Yanga kutokana na kuwa na uwezo wa kutumia miguu yote miwili jambo ambalo ni nadra kwa wachezaji wengi wanaocheza nafasi ya winga.

“Kwa sasa Kocha amekuwa haridhishwi na kiwango cha Moloko kwani alisajiliwa kuwa mbadala wa Tuisila Kisinda, lakini aina ya uchezaji wake sio kama ule aliotarajiwa licha ya kufunga mabao na kutoa asisti.

“Tuisila alikuwa akipata mipira anakimbia kuingia ndani ya boksi tofauti na Moloko, ukimwangalia Chico

katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Mbuni FC alikuwa akipata mipira anaingia ndani ya boksi mpaka akasababisha

penalti.

“Huenda Chico akachukua nafasi ya Moloko kwa sababu kocha amefurahishwa na kiwango chake kwani anapopata mpira anatengeneza nafasi tofauti na Moloko ambaye anarudisha mipira nyuma na kuifanya timu kupunguza kasi ya

kushambulia.”

[QUOTE="vuligate, post: 510, member: 123"] [HEADING=1]Chico Apewa Majukumu ya Moloko Yanga.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/YANGA-6-1.jpg[/IMG] KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Polisi Tanzania, amempa Chiko Ushindi majukumu ya Jesus Moloko. Chico anatarajiwa kuwa miongoni mwa wachezaji watakaoonekana kwenye kikosi cha Yanga kinachotarajia kucheza mchezo huo utakaopigwa leo Jumapili kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha. Chanzo kutoka ndani ya Yanga, kimeliambia Spoti Xtra, kuwa: “Chico amesajiliwa kwenye kikosi cha Yanga kutokana na kuwa na uwezo wa kutumia miguu yote miwili jambo ambalo ni nadra kwa wachezaji wengi wanaocheza nafasi ya winga. “Kwa sasa Kocha amekuwa haridhishwi na kiwango cha Moloko kwani alisajiliwa kuwa mbadala wa Tuisila Kisinda, lakini aina ya uchezaji wake sio kama ule aliotarajiwa licha ya kufunga mabao na kutoa asisti. “Tuisila alikuwa akipata mipira anakimbia kuingia ndani ya boksi tofauti na Moloko, ukimwangalia Chico katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Mbuni FC alikuwa akipata mipira anaingia ndani ya boksi mpaka akasababisha penalti. “Huenda Chico akachukua nafasi ya Moloko kwa sababu kocha amefurahishwa na kiwango chake kwani anapopata mpira anatengeneza nafasi tofauti na Moloko ambaye anarudisha mipira nyuma na kuifanya timu kupunguza kasi ya kushambulia.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom