Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Makambo Ataja Siku Atakayofunga.

HERITIER Makambo, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa ipo siku atafunga kwenye ligi kwa kuwa ni suala la muda hana mashaka nalo.

Kwenye ligi Yanga ikiwa imefunga mabao 22 katika mechi 12 ambazo imecheza, nyota huyo raia wa DR Congo hajafanikiwa kufunga wala kutoa pasi ya bao.

Akizungumza na Championi Jumamosi, Makambo alisema kuwa anatambua kwamba mashabiki wanapenda kuona akifunga ila muda bado haujafika.

“Mashabiki wanapenda kuona nafunga hata mimi pia ninapenda kufanya hivyo lakini ni suala la kusubiri kwani bado kuna mechi za kucheza na mechi zipo nyingi hivyo ipo siku nitafunga,” alisema.

Nyota huyo amecheza mechi 10 kati ya 12 na kuyeyusha dakika 279 kwenye mechi za ligi.

[QUOTE="Amir, post: 541, member: 20"] [HEADING=1]Makambo Ataja Siku Atakayofunga.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2021/09/makambo.jpg[/IMG] HERITIER Makambo, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa ipo siku atafunga kwenye ligi kwa kuwa ni suala la muda hana mashaka nalo. Kwenye ligi Yanga ikiwa imefunga mabao 22 katika mechi 12 ambazo imecheza, nyota huyo raia wa DR Congo hajafanikiwa kufunga wala kutoa pasi ya bao. Akizungumza na Championi Jumamosi, Makambo alisema kuwa anatambua kwamba mashabiki wanapenda kuona akifunga ila muda bado haujafika. “Mashabiki wanapenda kuona nafunga hata mimi pia ninapenda kufanya hivyo lakini ni suala la kusubiri kwani bado kuna mechi za kucheza na mechi zipo nyingi hivyo ipo siku nitafunga,” alisema. Nyota huyo amecheza mechi 10 kati ya 12 na kuyeyusha dakika 279 kwenye mechi za ligi. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom