Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Ntibazonkiza Ampagawisha Nabi Yanga.

BIG bosi wa benchi la ufundi la Yanga, Nasreddine Nabi ameonekana kukoshwa vilivyo na kiwango cha staa wake, Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ huku akiwaambia viongozi wa timu hiyo wampe mkataba mpya.

Saido amekuwa na kiwango cha juu ndani ya kikosi hicho msimu huu akiwa amefunga mabao manne na asisti moja katika ligi. Nyota huyo pia anakaribia kumaliza mkataba wake mwisho wa msimu huu.

Chanzo cha ndani kutoka Yanga kimeliambia Championi Jumamosi, kwamba uwezo wa nyota huyo umefanya kocha huyo awaambie mabosi wake wampe mkataba.

“Tangu Saido aanze kucheza kwenye kikosi amemshawishi sana kocha Nabi kutokana na kiwango kikubwa alichokionesha ambapo ameutaka uongozi kumuongezea mkataba.

“Ukiangalia Saido amehusika kwa asilimia kubwa katika mabao ya Yanga, kitu ambacho Nabi ameonekana kuvutiwa nacho na kwa sasa huwezi kumwambia kitu chochote kuhusu Saido yaani anamkubali sana.”

Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Fredrick Mwakalebela ameliambia Championi Jumamosi kuwa: “Saido amekuwa na kiwango kizuri lakini kwa sasa tunafikiria kumuongezea mkataba.

“Ukiangalia katika michezo ya hivi karibuni amekuwa na kiwango kizuri sana hata wewe ungeacha kumpa mkataba sasa.”

[QUOTE="Amir, post: 542, member: 20"] [HEADING=1]Ntibazonkiza Ampagawisha Nabi Yanga.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/YANGA.jpeg[/IMG] BIG bosi wa benchi la ufundi la Yanga, Nasreddine Nabi ameonekana kukoshwa vilivyo na kiwango cha staa wake, Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ huku akiwaambia viongozi wa timu hiyo wampe mkataba mpya. Saido amekuwa na kiwango cha juu ndani ya kikosi hicho msimu huu akiwa amefunga mabao manne na asisti moja katika ligi. Nyota huyo pia anakaribia kumaliza mkataba wake mwisho wa msimu huu. Chanzo cha ndani kutoka Yanga kimeliambia Championi Jumamosi, kwamba uwezo wa nyota huyo umefanya kocha huyo awaambie mabosi wake wampe mkataba. “Tangu Saido aanze kucheza kwenye kikosi amemshawishi sana kocha Nabi kutokana na kiwango kikubwa alichokionesha ambapo ameutaka uongozi kumuongezea mkataba. “Ukiangalia Saido amehusika kwa asilimia kubwa katika mabao ya Yanga, kitu ambacho Nabi ameonekana kuvutiwa nacho na kwa sasa huwezi kumwambia kitu chochote kuhusu Saido yaani anamkubali sana.” Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Fredrick Mwakalebela ameliambia Championi Jumamosi kuwa: “Saido amekuwa na kiwango kizuri lakini kwa sasa tunafikiria kumuongezea mkataba. “Ukiangalia katika michezo ya hivi karibuni amekuwa na kiwango kizuri sana hata wewe ungeacha kumpa mkataba sasa.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom