Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Yanga Yafungukia Ishu ya Djuma Shaban.

BAADA ya jana Januari 23 Yanga kuweza kusepa na pointi tatu mazima mbele ya Polisi Tanzania,Ofisa Habari wa Yanga, Haji Manara amefungukia kuhusu sakata la beki wao Djuma Shaban kuonekana akimpiga kiwiko mchezaji wa Polisi Tanzania.

Katika mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Djuma dakika ya 89 alionekana akimchezea faulo mchezaji wa Polisi Tanzania na mwamuzi wa kati hakuweza kuona tukio hilo ambalo lilikuwa ni baya.

Manara amesema kuwa kitendo ambacho amekifanya sio kizuri na wenyewe wanakikemea.

“Yes sio kitendo kizuri na Yanga tunakikemea hata kama kulikuwa na provocations,(hasira)”.

Baada ya kitendo hicho, Djuma alifanyiwa mabadiliko kwenye mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa.

Yanga inaongoza ligi ikiwa na pointi 35 baada ya kucheza mechi 13 za ligi na haijapoteza mchezo hata mmoja.

[QUOTE="Amir, post: 543, member: 20"] [HEADING=1]Yanga Yafungukia Ishu ya Djuma Shaban.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/djuma.jpg[/IMG] BAADA ya jana Januari 23 Yanga kuweza kusepa na pointi tatu mazima mbele ya Polisi Tanzania,Ofisa Habari wa Yanga, Haji Manara amefungukia kuhusu sakata la beki wao Djuma Shaban kuonekana akimpiga kiwiko mchezaji wa Polisi Tanzania. Katika mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Djuma dakika ya 89 alionekana akimchezea faulo mchezaji wa Polisi Tanzania na mwamuzi wa kati hakuweza kuona tukio hilo ambalo lilikuwa ni baya. Manara amesema kuwa kitendo ambacho amekifanya sio kizuri na wenyewe wanakikemea. “Yes sio kitendo kizuri na Yanga tunakikemea hata kama kulikuwa na provocations,(hasira)”. Baada ya kitendo hicho, Djuma alifanyiwa mabadiliko kwenye mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa. Yanga inaongoza ligi ikiwa na pointi 35 baada ya kucheza mechi 13 za ligi na haijapoteza mchezo hata mmoja. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom