Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Hizi Hapa Sababu za Mukoko Kuondoka Yanga.

RASMI uongozi wa Yanga umethibitisha kwamba kiungo Tonombe Mukoko hatakuwa sehemu ya kikosi hicho kwa msimu wa 2021/22 kwenye mechi ambazo zimebaki.

Kiungo huyo anakwenda kujiunga na kikosi cha TP Mazembe kwa ajili ya kuendelea kufanya kazi ya mpira ambayo ameichagua.

Sababu kubwa ya kiungo huyo kuondoka ni makubaliano ya pande zote mbili kati ya TP Mazembe na Yanga.

Yanga wamemchukua Chico Ushindi ambaye ni kiungo na TP Mazembe wao wamemchukua kiungo Mukoko.

Mchezo wa mwisho wa Mukoko kucheza akiwa na jezi za Yanga ilikuwa mbele ya Mbuni FC ambao ulikuwa ni wa kirafiki ulichezwa Uwanja wa Sheik Amri Abeid na Yanga ilishinda kwa mabao 2-0.

Mabao yote yalikuwa ni mapigo ya penalti na aliyefunga alikuwa ni Mukoko pia Chico aliweza kucheza kwenye mchezo huo na alisababisha penalti moja ilikuwa ni Januari 19,2022.

Yanga wamesema:”Tunashukuru sana kwa mchango wako nahodha msaidizi wa klabu yetu ya Yanga. Tunakutakia kila la kheri na mafanikio kwenye klabu yako mpya ya TP Mazembe,”.

[QUOTE="Amir, post: 544, member: 20"] [HEADING=1]Hizi Hapa Sababu za Mukoko Kuondoka Yanga.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/kidanistars_272644635_337833768192404_7789918297120667803_n.webp.jpg[/IMG] RASMI uongozi wa Yanga umethibitisha kwamba kiungo Tonombe Mukoko hatakuwa sehemu ya kikosi hicho kwa msimu wa 2021/22 kwenye mechi ambazo zimebaki. Kiungo huyo anakwenda kujiunga na kikosi cha TP Mazembe kwa ajili ya kuendelea kufanya kazi ya mpira ambayo ameichagua. Sababu kubwa ya kiungo huyo kuondoka ni makubaliano ya pande zote mbili kati ya TP Mazembe na Yanga. Yanga wamemchukua Chico Ushindi ambaye ni kiungo na TP Mazembe wao wamemchukua kiungo Mukoko. Mchezo wa mwisho wa Mukoko kucheza akiwa na jezi za Yanga ilikuwa mbele ya Mbuni FC ambao ulikuwa ni wa kirafiki ulichezwa Uwanja wa Sheik Amri Abeid na Yanga ilishinda kwa mabao 2-0. Mabao yote yalikuwa ni mapigo ya penalti na aliyefunga alikuwa ni Mukoko pia Chico aliweza kucheza kwenye mchezo huo na alisababisha penalti moja ilikuwa ni Januari 19,2022. Yanga wamesema:”Tunashukuru sana kwa mchango wako nahodha msaidizi wa klabu yetu ya Yanga. Tunakutakia kila la kheri na mafanikio kwenye klabu yako mpya ya TP Mazembe,”. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom