Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kocha Yanga Afunguka Diarra Kusotea Benchi Afcon.

KUENDELEA kusugua benchi kwa mlinda mlango namba moja wa Yanga, Djigui Diarra, akiwa na kikosi cha timu ya Taifa ya Mali inayoshiriki mashindano ya Afcon huko Cameroon, kumemuibua kocha wa makipa wa Yanga, Mbrazili, Milton Nievov ambaye ameweka wazi kuwa huenda ikaleta athari katika kiwango chake.

Diarra hajaanza katika mchezo wowote wa Mali katika hatua ya makundi kwenye Afcon, ambapo kikosi cha timu hiyo tayari kimefuzu hatua ya 16 bora na wanatarajia kuvaana na timu ya Taifa ya Equatorial Guinea keshokutwa Jumatano saa 4 usiku majira ya Afrika Mashariki.

katika kikosi cha Yanga, Diarra ndiye mlinda mlango namba moja huku Aboutwalib Mshery akiwa ndiye namba mbili na Erick Johora ambaye ni mlinda mlango namba tatu wa kikosi hicho.

Akizungumza na Championi Jumatatu, Milton alisema: “Nilikuwa nikimtazama Diarra wakati nikiwa na Simba, naweza kusema huyu ni miongoni mwa makipa bora zaidi ndani ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa sasa na hili linathibitishwa na kuitwa kwake kwenye kikosi cha timu ya Taifa kubwa kama Mali.

“Najua hajapata nafasi ya kucheza kutokana ushindani mkubwa wa namba anaokutana nao kwenye kikosi hicho na kwa upande wetu hilo sio jambo jema, tunatamani kuona anacheza kwa sababu mara zote mchezaji anakuwa bora zaidi kadiri anavyopata nafasi ya kucheza na kukaa benchi kunaweza kuhatarisha kiwango chake japo hatuwezi kuthibitisha hilo kwa sasa mpaka atakaporejea.”

[QUOTE="Amir, post: 555, member: 20"] [HEADING=1]Kocha Yanga Afunguka Diarra Kusotea Benchi Afcon.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/djiguidiarraofficial_272234099_3080964722168531_3277925330781385411_n.jpg[/IMG] KUENDELEA kusugua benchi kwa mlinda mlango namba moja wa Yanga, Djigui Diarra, akiwa na kikosi cha timu ya Taifa ya Mali inayoshiriki mashindano ya Afcon huko Cameroon, kumemuibua kocha wa makipa wa Yanga, Mbrazili, Milton Nievov ambaye ameweka wazi kuwa huenda ikaleta athari katika kiwango chake. Diarra hajaanza katika mchezo wowote wa Mali katika hatua ya makundi kwenye Afcon, ambapo kikosi cha timu hiyo tayari kimefuzu hatua ya 16 bora na wanatarajia kuvaana na timu ya Taifa ya Equatorial Guinea keshokutwa Jumatano saa 4 usiku majira ya Afrika Mashariki. katika kikosi cha Yanga, Diarra ndiye mlinda mlango namba moja huku Aboutwalib Mshery akiwa ndiye namba mbili na Erick Johora ambaye ni mlinda mlango namba tatu wa kikosi hicho. Akizungumza na Championi Jumatatu, Milton alisema: “Nilikuwa nikimtazama Diarra wakati nikiwa na Simba, naweza kusema huyu ni miongoni mwa makipa bora zaidi ndani ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa sasa na hili linathibitishwa na kuitwa kwake kwenye kikosi cha timu ya Taifa kubwa kama Mali. “Najua hajapata nafasi ya kucheza kutokana ushindani mkubwa wa namba anaokutana nao kwenye kikosi hicho na kwa upande wetu hilo sio jambo jema, tunatamani kuona anacheza kwa sababu mara zote mchezaji anakuwa bora zaidi kadiri anavyopata nafasi ya kucheza na kukaa benchi kunaweza kuhatarisha kiwango chake japo hatuwezi kuthibitisha hilo kwa sasa mpaka atakaporejea.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom