Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Ambundo Aahidi Makubwa Yanga.

WINGA wa Yanga, Dickson Ambundo, amefunguka na kuelezea matumainiyake ndani ya kikosi hicho baada ya juzi Jumapili kufunga bao la ushindi dhidi ya Polisi Tanzania.

Yanga ambao ni vinara wa Ligi Kuu Bara wakikusanya alama 35, juzi Jumapili kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha, iliibuka na ushindi wa bao 0-1 dhidi ya Polisi Tanzania.

Ambundo alifunga bao hilo dakika ya 64 akimalizia pasi ya Fiston Mayele. Hilo ni bao la kwanza kwa Ambundo tangu ajiunge na Yanga msimu huu akitokea Dodoma Jiji.

Akizungumza na Spoti Xtra Ambundo, amesema kuwa: “Nimejisikia furaha kufunga kwa mara ya kwanza kwenye

mchezo muhimu kama ule. “Malengo yangu ni kuhakikisha ninaisaidia timu kutwaa ubingwa, siwezi kusema nitafunga mabao mangapi, ila nitajitaidi kuhakikisha timu yangu ninaisaidia kuchukua ubingwa.

“Mashabiki wa Yanga wawe na imani na timu yao, Mungu akipenda tutabebea ubigwa msimu huu.”

[QUOTE="Amir, post: 571, member: 20"] [HEADING=1]Ambundo Aahidi Makubwa Yanga.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/yangasc_272285981_684213372744416_8925370667724190717_n.jpg[/IMG] WINGA wa Yanga, Dickson Ambundo, amefunguka na kuelezea matumainiyake ndani ya kikosi hicho baada ya juzi Jumapili kufunga bao la ushindi dhidi ya Polisi Tanzania. Yanga ambao ni vinara wa Ligi Kuu Bara wakikusanya alama 35, juzi Jumapili kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha, iliibuka na ushindi wa bao 0-1 dhidi ya Polisi Tanzania. Ambundo alifunga bao hilo dakika ya 64 akimalizia pasi ya Fiston Mayele. Hilo ni bao la kwanza kwa Ambundo tangu ajiunge na Yanga msimu huu akitokea Dodoma Jiji. Akizungumza na Spoti Xtra Ambundo, amesema kuwa: “Nimejisikia furaha kufunga kwa mara ya kwanza kwenye mchezo muhimu kama ule. “Malengo yangu ni kuhakikisha ninaisaidia timu kutwaa ubingwa, siwezi kusema nitafunga mabao mangapi, ila nitajitaidi kuhakikisha timu yangu ninaisaidia kuchukua ubingwa. “Mashabiki wa Yanga wawe na imani na timu yao, Mungu akipenda tutabebea ubigwa msimu huu.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom