Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Djuma, Bangala Watimka Yanga.

MASTAA wa Yanga, Djuma Shaaban na Yannick Bangala jana Jumanne saa tisa kamili alfajiri walipanda ndege kurejea nyumbani kwao DR Congo tayari kwa kujiunga na timu ya taifa ya nchini kwao.

Hiyo ikiwa ni saa chache tangu mastaa warejee jijini Dar es Salaam wakitokea Arusha walipokwenda kuvaana na Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa Sheikh Amri Abeid mkoani huko.

Katika mchezo huo wa ligi, Yanga ilifanikiwa kuwafunga Polisi Tanzania bao 1-0 ambalo lilifungwa na Dickson Ambundo akipokea pasi ya Fiston Mayele kabla ya kufunga.

Djuma na Bangala wamerejea nyumbani kwao Congo kwa ajili ya kujiunga na kambi ya timu ya Taifa ya

DR Congo inayojiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Bahrain.

Sasa rasmi timu hiyo itakawakosa wachezaji wake hao wawili katika mchezo ujao wa Kombe la FA watakaocheza dhidi ya Mbao FC utakaochezwa Jumamosi hii kwenye

Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.Wachezaji hao Jumamosi iliyopita walitangazwa kuwepo katika orodha

ya wachezaji 25 wa timu hiyo wataokwenda kucheza mchezo huo wa kirafiki.

Nyota hao wawili watakwenda kucheza mchezo huo maalum wa kujiandaa kutafuta nafasi ya kufuzu

Kombe la Dunia. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa Februari Mosi, mwaka huu na wachezaji hao watakuwepo sehemu ya kikosi hicho.

Wachezaji hao tangu wajiunge na Yanga wamekuwa tegemeo na uhakika wa kuanza katika kikosi cha Nabi

kinachowania Ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu.

[QUOTE="Amir, post: 572, member: 20"] [HEADING=1]Djuma, Bangala Watimka Yanga.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/wadoldjuma_officiel__265189717_1586901598340337_5234136936641486476_n.webp.jpg[/IMG] MASTAA wa Yanga, Djuma Shaaban na Yannick Bangala jana Jumanne saa tisa kamili alfajiri walipanda ndege kurejea nyumbani kwao DR Congo tayari kwa kujiunga na timu ya taifa ya nchini kwao. Hiyo ikiwa ni saa chache tangu mastaa warejee jijini Dar es Salaam wakitokea Arusha walipokwenda kuvaana na Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa Sheikh Amri Abeid mkoani huko. Katika mchezo huo wa ligi, Yanga ilifanikiwa kuwafunga Polisi Tanzania bao 1-0 ambalo lilifungwa na Dickson Ambundo akipokea pasi ya Fiston Mayele kabla ya kufunga. Djuma na Bangala wamerejea nyumbani kwao Congo kwa ajili ya kujiunga na kambi ya timu ya Taifa ya DR Congo inayojiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Bahrain. [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/ybangalaa4_270059626_1113318229500859_3795380467250545417_n.jpg[/IMG] Sasa rasmi timu hiyo itakawakosa wachezaji wake hao wawili katika mchezo ujao wa Kombe la FA watakaocheza dhidi ya Mbao FC utakaochezwa Jumamosi hii kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.Wachezaji hao Jumamosi iliyopita walitangazwa kuwepo katika orodha ya wachezaji 25 wa timu hiyo wataokwenda kucheza mchezo huo wa kirafiki. Nyota hao wawili watakwenda kucheza mchezo huo maalum wa kujiandaa kutafuta nafasi ya kufuzu Kombe la Dunia. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa Februari Mosi, mwaka huu na wachezaji hao watakuwepo sehemu ya kikosi hicho. Wachezaji hao tangu wajiunge na Yanga wamekuwa tegemeo na uhakika wa kuanza katika kikosi cha Nabi kinachowania Ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom