Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

GSM Wamuita Mayele Fasta.

YANGA kweli safari hii imepania kuhakikisha kuwa inawalinda mastaa wake hiyo ni baada ya uongozi wa klabu hiyo chini ya wadhamini wao, GSM kumuita fasta mshambuliaji hatari wa timu hiyo, Fiston Mayele kwa ajili ya mazungumzo.

Fiston Mayele ndani ya Yanga kwa sasa ndiye kinara wa upachikaji mabao akiwa na jumla ya mabao 6 huku akiwa wapili kwenye orodha ya wafungaji bora. Kinara wa jumla ni Reliants Lusajo wa Namungo mwenye 7.

Chanzo cha ndani kutoka Yanga kimeliambia Championi Jumatano kuwa, uongozi wa GSM umefanya

kikao na Mayele ambaye amekuwa ni msaada wa timu na hiyo ni katika kuhakikisha kuwa anaendelea kusalia ndani ya timu hiyo kwa muda mrefu zaidi.

“Ni kweli Mayele leo Jumanne (jana) alikutana na uongozi wa GSM ambao walikuwa na kikao na kubwa zaidi lilikuwa ni kuzungumza ni kwa namna gani mshambuliaji huyo anaendelea kusalia ndani ya timu kwa muda

mrefu licha ya kuwa tayari ana mkataba wa miaka miwili ambao alisaini wakati anajiunga na timu hiyo.

“Unajua kuna mambo mengi kwenye mpira, unapokuwa na wachezaji wazuri lazima ufahamu jinsi ya kuishi nao na ndio maana vitu kama hivi uongozi kukaa kufanya vikao na mchezaji ni kawaida kwa ajili ya manufaa ya

pande zote mbili yaani mchezaji na timu,” kilisema chanzo hiko.

Alipotafuta Mayele kuzungumzia juu ya ishu hiyo alisema: “Ni kweli nilikuwa na kikao na uongozi jambo

ambalo sio geni kwa wachezaji na yalikuwa ni mambo binafsi ambayo nisingependa kuyaweka hadharani.”

[QUOTE="Amir, post: 581, member: 20"] [HEADING=1]GSM Wamuita Mayele Fasta.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/YANGA-1-2.jpg[/IMG] YANGA kweli safari hii imepania kuhakikisha kuwa inawalinda mastaa wake hiyo ni baada ya uongozi wa klabu hiyo chini ya wadhamini wao, GSM kumuita fasta mshambuliaji hatari wa timu hiyo, Fiston Mayele kwa ajili ya mazungumzo. Fiston Mayele ndani ya Yanga kwa sasa ndiye kinara wa upachikaji mabao akiwa na jumla ya mabao 6 huku akiwa wapili kwenye orodha ya wafungaji bora. Kinara wa jumla ni Reliants Lusajo wa Namungo mwenye 7. Chanzo cha ndani kutoka Yanga kimeliambia Championi Jumatano kuwa, uongozi wa GSM umefanya kikao na Mayele ambaye amekuwa ni msaada wa timu na hiyo ni katika kuhakikisha kuwa anaendelea kusalia ndani ya timu hiyo kwa muda mrefu zaidi. [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2021/12/YANGA-6-1.jpg[/IMG] “Ni kweli Mayele leo Jumanne (jana) alikutana na uongozi wa GSM ambao walikuwa na kikao na kubwa zaidi lilikuwa ni kuzungumza ni kwa namna gani mshambuliaji huyo anaendelea kusalia ndani ya timu kwa muda mrefu licha ya kuwa tayari ana mkataba wa miaka miwili ambao alisaini wakati anajiunga na timu hiyo. “Unajua kuna mambo mengi kwenye mpira, unapokuwa na wachezaji wazuri lazima ufahamu jinsi ya kuishi nao na ndio maana vitu kama hivi uongozi kukaa kufanya vikao na mchezaji ni kawaida kwa ajili ya manufaa ya pande zote mbili yaani mchezaji na timu,” kilisema chanzo hiko. Alipotafuta Mayele kuzungumzia juu ya ishu hiyo alisema: “Ni kweli nilikuwa na kikao na uongozi jambo ambalo sio geni kwa wachezaji na yalikuwa ni mambo binafsi ambayo nisingependa kuyaweka hadharani.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom