Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Senzo: Ubingwa Yanga ni Suala la Muda Tu.

OFISA Mtendaji Mkuu (CEO) wa klabu ya Yanga, Senzo Mbatha ameweka wazi kuwa kwa moto ambao kikosi chao kinaendelea kuuwasha kwenye Ligi Kuu Bara, wanaamini kuwa ni suala la muda tu kabla hawajatangazwa kushinda ubingwa msimu huu.

Yanga ndiyo vinara wa msimamo wa Ligi Kuu Bara mpaka sasakwa tofauti ya pointi 10 ambapo wamefanikiwakujikusanyia pointi35 katika michezo yao 13 waliyochezampaka sasa, huku wakiwa wamesaliwa na michezo miwili tu kukamilisha mzunguko wa kwanza ambayo ni dhidi ya Mbeya City na Mtibwa Sugar.

Akizungumzia mipango yao ya ubingwa msimu huu, Senzo alisema:“Tunajivunia mwenendo ambao kikosi chetu kimekuwa nao kwa michezo yote 13 ya kwanza, ni wazi tumefanya kazi kubwa kufikia hapa na binafsi kuona tunaweza kupata matokeo katika michezo migumu ugenini kama vile dhidi ya Coastal Union na Polisi Tanzania tofauti na ilivyokuwa msimu uliopita.

“Hili linanionyesha wazi kuwa kwa kiasi kikubwa tuna nafasi kubwa ya kuibuka mabingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, nadhani ni suala la muda tu na tunapaswa kuendelea na kasi hii mpaka mwishonimwa msimu.”

[QUOTE="Amir, post: 582, member: 20"] [HEADING=1]Senzo: Ubingwa Yanga ni Suala la Muda Tu.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2021/09/senzo.png[/IMG] OFISA Mtendaji Mkuu (CEO) wa klabu ya Yanga, Senzo Mbatha ameweka wazi kuwa kwa moto ambao kikosi chao kinaendelea kuuwasha kwenye Ligi Kuu Bara, wanaamini kuwa ni suala la muda tu kabla hawajatangazwa kushinda ubingwa msimu huu. Yanga ndiyo vinara wa msimamo wa Ligi Kuu Bara mpaka sasakwa tofauti ya pointi 10 ambapo wamefanikiwakujikusanyia pointi35 katika michezo yao 13 waliyochezampaka sasa, huku wakiwa wamesaliwa na michezo miwili tu kukamilisha mzunguko wa kwanza ambayo ni dhidi ya Mbeya City na Mtibwa Sugar. Akizungumzia mipango yao ya ubingwa msimu huu, Senzo alisema:“Tunajivunia mwenendo ambao kikosi chetu kimekuwa nao kwa michezo yote 13 ya kwanza, ni wazi tumefanya kazi kubwa kufikia hapa na binafsi kuona tunaweza kupata matokeo katika michezo migumu ugenini kama vile dhidi ya Coastal Union na Polisi Tanzania tofauti na ilivyokuwa msimu uliopita. “Hili linanionyesha wazi kuwa kwa kiasi kikubwa tuna nafasi kubwa ya kuibuka mabingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, nadhani ni suala la muda tu na tunapaswa kuendelea na kasi hii mpaka mwishonimwa msimu.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom