Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Manara Kuhama Nchi.

MSEMAJI wa Klabu ya Young Africans, Haji Sunday Ramadhani Manara ameweka nadhiri ya kuhama nchi, endapo klabu hiyo itashindwa kutwaa ubingwa wa Tanzania Bara msimu huu 2021/22.

Manara ameweka nadhiri hiyo akiwa kwenye kipindi cha Sports Arena cha Wasafi FM leo Alhamis (Januari 27), ambapo amesema hakuna la kuwazuia kufanya hivyo, baada ya kusubiri kwa miaka minne.

Amesema Young Africans ina kikosi cha kutimiza dhamira ya kutwaa ubingwa msimu huu na hana shaka na hilo, ndio maana ameweka nadhiri hiyo hadharani.

“Tukikosa ubingwa msimu huu mimi nitahama nchi, nitachana passport yangu na kila kitu, yaani Yanga hii ikose ubingwa? tufungwe michezo minne sisi ili tupoteze sifa hii ya kuwa mabingwa wa msimu huu? Haiwezekani!”

“Huwa ninafurahishwa sana na vichekesho vinavyoendelea huko, kuna watu wanasema Yanga imekua kawaida yao kuongoza halafu sisi tunakuja kuchukua ubingwa, hivi ni vichekesho jamani, watu wanaishi kwa mazoea, yaani kwa Yanga hii usubiri hilo litokee, kweli mimi nitahama nchi,” amesema Manara.

Young Africans inaongoza msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kufikisha alama 35, baada ya kucheza michezo 13, ikiwaacha Simba SC kwa tofauti ya alama 10.

[QUOTE="Amir, post: 583, member: 20"] [HEADING=1]Manara Kuhama Nchi.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2021/09/manara-4.jpg[/IMG] MSEMAJI wa Klabu ya Young Africans, Haji Sunday Ramadhani Manara ameweka nadhiri ya kuhama nchi, endapo klabu hiyo itashindwa kutwaa ubingwa wa Tanzania Bara msimu huu 2021/22. Manara ameweka nadhiri hiyo akiwa kwenye kipindi cha Sports Arena cha Wasafi FM leo Alhamis (Januari 27), ambapo amesema hakuna la kuwazuia kufanya hivyo, baada ya kusubiri kwa miaka minne. Amesema Young Africans ina kikosi cha kutimiza dhamira ya kutwaa ubingwa msimu huu na hana shaka na hilo, ndio maana ameweka nadhiri hiyo hadharani. [I]“Tukikosa ubingwa msimu huu mimi nitahama nchi, nitachana passport yangu na kila kitu, yaani Yanga hii ikose ubingwa? tufungwe michezo minne sisi ili tupoteze sifa hii ya kuwa mabingwa wa msimu huu? Haiwezekani!” “Huwa ninafurahishwa sana na vichekesho vinavyoendelea huko, kuna watu wanasema Yanga imekua kawaida yao kuongoza halafu sisi tunakuja kuchukua ubingwa, hivi ni vichekesho jamani, watu wanaishi kwa mazoea, yaani kwa Yanga hii usubiri hilo litokee, kweli mimi nitahama nchi,”[/I] amesema Manara. Young Africans inaongoza msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kufikisha alama 35, baada ya kucheza michezo 13, ikiwaacha Simba SC kwa tofauti ya alama 10. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom