Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Manara Atamba: Msimu Huu ni Shangwe tu kwa Yanga.

WAKATI Simba SC wakihaha kurejea katika njia ya furaha na kusaka namna ya kutetea ubingwa wa Tanzania Bara kwa mara ya tano mfululizo, kwa majirani zao Young Africans wameapa msimu huu ‘PATACHIMBIKA’.

Simba SC imekua na matokeo mabaya katika michezo mitatu iliyopita, ikipoteza dhidi ya Mbeya City na Kagera Sugar kwa kufungwa 1-0, huku ikitoka sare ya 0-0 dhidi ya Mtibwa Sugar.

Akizungumza mapema leo Alhamisl (Januari 27), Msemaji wa Young Africans Haji Manara amesema msimu huu ni wa furaha kwa Wanachama na Mashabiki wa klabu hiyo.

Amesema Wachezaji wanatambua mchango wa Wanachama na Mashabiki wa Young Africans, hivyo jukumu lao ni kupambana na kutwaa ubingwa wa Tanzania Bara kwa mara ya kwanza baada ya miaka mitano kupita.

“Wachezaji tumekua tukiwahimiza wapambane kwa ajili ya Mashabiki na Wanachama, hawa watu wamesubiri ubingwa kwa miaka minne, tumewaambia Wachezaji wasahau kuhusu Posho kwa sababu hili suala lipo kwenye mikataba yao, jambo la kwanza ni wao kupambana kwanza na mengine yatakuja yenyewe.”

Young Africans inaongoza msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kufikisha alama 35, baada ya kucheza michezo 13, ikiwaacha Simba SC kwa tofauti ya alama 10.

[QUOTE="Amir, post: 585, member: 20"] [HEADING=1]Manara Atamba: Msimu Huu ni Shangwe tu kwa Yanga.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2021/08/MANARA-1-1.jpg[/IMG] WAKATI Simba SC wakihaha kurejea katika njia ya furaha na kusaka namna ya kutetea ubingwa wa Tanzania Bara kwa mara ya tano mfululizo, kwa majirani zao Young Africans wameapa msimu huu ‘PATACHIMBIKA’. Simba SC imekua na matokeo mabaya katika michezo mitatu iliyopita, ikipoteza dhidi ya Mbeya City na Kagera Sugar kwa kufungwa 1-0, huku ikitoka sare ya 0-0 dhidi ya Mtibwa Sugar. Akizungumza mapema leo Alhamisl (Januari 27), Msemaji wa Young Africans Haji Manara amesema msimu huu ni wa furaha kwa Wanachama na Mashabiki wa klabu hiyo. Amesema Wachezaji wanatambua mchango wa Wanachama na Mashabiki wa Young Africans, hivyo jukumu lao ni kupambana na kutwaa ubingwa wa Tanzania Bara kwa mara ya kwanza baada ya miaka mitano kupita. “Wachezaji tumekua tukiwahimiza wapambane kwa ajili ya Mashabiki na Wanachama, hawa watu wamesubiri ubingwa kwa miaka minne, tumewaambia Wachezaji wasahau kuhusu Posho kwa sababu hili suala lipo kwenye mikataba yao, jambo la kwanza ni wao kupambana kwanza na mengine yatakuja yenyewe.” Young Africans inaongoza msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kufikisha alama 35, baada ya kucheza michezo 13, ikiwaacha Simba SC kwa tofauti ya alama 10. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom