Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mastaa 10 Yanga Kuikosa Mbao FC.

KIKOSI cha Yanga SC kitashuka tena uwanjani Jumamosi ya Januari 29, 2022 kucheza na klabu ya Mbao FC ya jijini Mwanza katika mchezo wa kombe la shirikisho la Azam.

Awali, mchezo baina ya Yanga SC Vs Mbao FC ulipangwa kuchezwa katika uwanja wa michezo wa Benjamin W. Mkapa uliopo manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam.

Hata hivyo, mchezo baina ya Yanga SC na Mbao FC, sasa umepelekwa jijini Mwanza katika dimba la CCM Kirumba.

Sababu ya kuhamishwa kwa mchezo huo kutoka uwanja wa michezo wa Benjamin Mkapa ni kile kilichodaiwa uwanja huo kuwa kwenye matumizi mengine siku ya Jumamosi.

Kuwakosa wachezaji 10.

Kuelekea mchezo huo wa kombe la shirikisho la Azam, Yanga SC inatarajia kuwakosa wachezaji wake 10 kwa sababu mbalimbali.

Wachezaji wawili wa Kikongo Djuma Shabani na Yannick Bangala Litombo wenyewe watakosekana katika mchezo huo kwa kuwa wapo katika majukumu ya timu ya taifa huko Bahrain.

Mchezaji mwingine wa Kikongo katika kikosi cha Yanga SC, Herithier Ebenezer Makambo na yeye atakosekana katika mchezo huo baada ya kuomba ruhusa kwenda nchini kwao Kongo DR kushughulikia matatizo ya kifamilia.

Wachezaji Feisal Salum Abdallah, Yusuf Athuman, Yacouba Sogne, Kibwana Shomari, Abdallah Shaibu ‘ Ninja’ , na Denis Nkane wapo kwenye uwezekano mkubwa wa kuukosa mchezo dhidi ya Mbao FC kwa sababu ya kusumbuliwa na majeraha.

Mchezaji wa 10 ambaye ataukosa mchezo baina ya Yanga SC Vs Mbao FC ni Mganda Khalid Aucho ambaye anatumikia adhabu ya kadi tatu za njano.

Ikumbukwe kuwa, mlinda mlango namba moja wa Yanga SC, Djigui Diarra amekosekana katika kikosi cha Yanga SC kwa zaidi ya wiki 3 kwa kuwepo kwenye majukumu ya kuitumikia timu yake ya taifa ya Mali katika fainali za kombe la mataifa ya Afrika zinazoendelea huko nchini Cameroon.

Wafurahia Simba kupoteana.

Wadau na wachezaji wa Yanga SC pamoja na mashabiki wao wamefurahishwa na mwenendo mbovu wa klabu ya Simba SC. Simba SC imekusanya alama moja pekee katika michezo mitatu iliyocheza ya hivi karibuni.

Kwa matokeo hayo, Simba SC imeachwa pointi 10 na Yanga SC, kitendo ambacho kinawapa Wanayanga nafasi kubwa ya kuupata ubingwa wa ligi kuu ya soka Tanzania bara.

Wachezaji wa zamani wa Yanga SC na kismati cha kuifunga Simba SC.

Katika michezo miwili ya hivi karibuni ambayo Simba SC imepoteza, magoli ya wapinzani wa Simba SC yalifungwa na wachezaji wa zamani wa Yanga SC.

Katika mchezo dhidi ya Mbeya City, goli pekee la mchezo huo lilifungwa na mchezaji wa zamani wa Yanga SC, Paul Nonga. Na katika mchezo dhidi ya Kagera Sugar Vs Simba SC, bao pekee la mchezo lilifungwa na mchezaji wa zamani wa Yanga SC, Mganda Hamis Kiiza Diego.

[QUOTE="Amir, post: 586, member: 20"] [HEADING=1]Mastaa 10 Yanga Kuikosa Mbao FC.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/YANGA-9-1.jpg[/IMG] KIKOSI cha Yanga SC kitashuka tena uwanjani Jumamosi ya Januari 29, 2022 kucheza na klabu ya Mbao FC ya jijini Mwanza katika mchezo wa kombe la shirikisho la Azam. Awali, mchezo baina ya Yanga SC Vs Mbao FC ulipangwa kuchezwa katika uwanja wa michezo wa Benjamin W. Mkapa uliopo manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam. Hata hivyo, mchezo baina ya Yanga SC na Mbao FC, sasa umepelekwa jijini Mwanza katika dimba la CCM Kirumba. Sababu ya kuhamishwa kwa mchezo huo kutoka uwanja wa michezo wa Benjamin Mkapa ni kile kilichodaiwa uwanja huo kuwa kwenye matumizi mengine siku ya Jumamosi. [B]Kuwakosa wachezaji 10.[/B] Kuelekea mchezo huo wa kombe la shirikisho la Azam, Yanga SC inatarajia kuwakosa wachezaji wake 10 kwa sababu mbalimbali. Wachezaji wawili wa Kikongo Djuma Shabani na Yannick Bangala Litombo wenyewe watakosekana katika mchezo huo kwa kuwa wapo katika majukumu ya timu ya taifa huko Bahrain. Mchezaji mwingine wa Kikongo katika kikosi cha Yanga SC, Herithier Ebenezer Makambo na yeye atakosekana katika mchezo huo baada ya kuomba ruhusa kwenda nchini kwao Kongo DR kushughulikia matatizo ya kifamilia. Wachezaji Feisal Salum Abdallah, Yusuf Athuman, Yacouba Sogne, Kibwana Shomari, Abdallah Shaibu ‘ Ninja’ , na Denis Nkane wapo kwenye uwezekano mkubwa wa kuukosa mchezo dhidi ya Mbao FC kwa sababu ya kusumbuliwa na majeraha. Mchezaji wa 10 ambaye ataukosa mchezo baina ya Yanga SC Vs Mbao FC ni Mganda Khalid Aucho ambaye anatumikia adhabu ya kadi tatu za njano. Ikumbukwe kuwa, mlinda mlango namba moja wa Yanga SC, Djigui Diarra amekosekana katika kikosi cha Yanga SC kwa zaidi ya wiki 3 kwa kuwepo kwenye majukumu ya kuitumikia timu yake ya taifa ya Mali katika fainali za kombe la mataifa ya Afrika zinazoendelea huko nchini Cameroon. [B]Wafurahia Simba kupoteana.[/B] Wadau na wachezaji wa Yanga SC pamoja na mashabiki wao wamefurahishwa na mwenendo mbovu wa klabu ya Simba SC. Simba SC imekusanya alama moja pekee katika michezo mitatu iliyocheza ya hivi karibuni. Kwa matokeo hayo, Simba SC imeachwa pointi 10 na Yanga SC, kitendo ambacho kinawapa Wanayanga nafasi kubwa ya kuupata ubingwa wa ligi kuu ya soka Tanzania bara. [B]Wachezaji wa zamani wa Yanga SC na kismati cha kuifunga Simba SC.[/B] Katika michezo miwili ya hivi karibuni ambayo Simba SC imepoteza, magoli ya wapinzani wa Simba SC yalifungwa na wachezaji wa zamani wa Yanga SC. Katika mchezo dhidi ya Mbeya City, goli pekee la mchezo huo lilifungwa na mchezaji wa zamani wa Yanga SC, Paul Nonga. Na katika mchezo dhidi ya Kagera Sugar Vs Simba SC, bao pekee la mchezo lilifungwa na mchezaji wa zamani wa Yanga SC, Mganda Hamis Kiiza Diego. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom