Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Nabi Ampa Saido Mchongo … Soma Hapa.

SASA uhakika kiungo mshambuliaji wa Yanga Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ raia wa Burundi, ataendelea kuichezea timu

hiyo katika msimu ujao, hii ni baada ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kutaka aongezewe mkataba.

Mrundi huyo ni kati ya wachezaji ambao mikataba yao inatarajiwa kumalizika mwishoni mwa msimu huu. Wengine baadhi ni Dickson Job, Kibwana Shomari, Bakari Mwamnyeto, Deus Kaseke na Farid Mussa.

Kwa siku za karibuni, kiungo huyo ameonekana kurejea kwa kasi akionesha kiwango bora na kumfanya aingie kikosi cha kwanza cha timu hiyo. Mmoja wa mabosi wa timu hiyo, ameliambia Spoti Xtra kuwa, Kocha Nabi ameridhishwa na kiwango kikubwa ambacho amekionesha Saido kwa siku za karibuni.

Bosi huyo alisema Nabi mara baada ya mchezo wa Polisi Tanzania, haraka aliwaambia viongozi wa timu hiyo, wamuongezee mkataba wa kuendelea kukipiga hapo.

Aliongeza kuwa, kocha huyo bado anaendelea kuwatazama baadhi ya wachezaji wengine ambao mikataba yao inatarajiwa kumalizika mwishoni mwa msimu kwa ajili ya kupendekeza usajili wao.

“Kocha Nabi ndiye anayependekeza usajili wote wa timu, hivyo kama yeye akipendekeza mchezaji fulani asajiliwe, basi hakutakuwa na pingamizi lolote kwa uongozi. “Hivyo Saido jina lake limependekezwa na Nabi ambaye amewaomba viongozi aongezewe mkataba wa kuendelea kuichezea Yanga.

“Ni suala la muda tu, hivyo muda wowote atapewa mkataba mpya mara baada ya kukaa meza moja na viongozi kwa ajili ya kufanya mazungumzo,” alisema bosi huyo.

Akizungumzia hilo, Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Frederick Mwakalebela, alisema: “Kila kitu kinachohusiana na usajili tumemuachia kocha, hivyo bado hatujakutana na kocha kujadiliana usajili.”

[QUOTE="Amir, post: 587, member: 20"] [HEADING=1]Nabi Ampa Saido Mchongo … Soma Hapa.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/yangasc_270073665_288327629934712_2729646942819960104_n2.jpg[/IMG] SASA uhakika kiungo mshambuliaji wa Yanga Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ raia wa Burundi, ataendelea kuichezea timu hiyo katika msimu ujao, hii ni baada ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kutaka aongezewe mkataba. Mrundi huyo ni kati ya wachezaji ambao mikataba yao inatarajiwa kumalizika mwishoni mwa msimu huu. Wengine baadhi ni Dickson Job, Kibwana Shomari, Bakari Mwamnyeto, Deus Kaseke na Farid Mussa. Kwa siku za karibuni, kiungo huyo ameonekana kurejea kwa kasi akionesha kiwango bora na kumfanya aingie kikosi cha kwanza cha timu hiyo. Mmoja wa mabosi wa timu hiyo, ameliambia Spoti Xtra kuwa, Kocha Nabi ameridhishwa na kiwango kikubwa ambacho amekionesha Saido kwa siku za karibuni. Bosi huyo alisema Nabi mara baada ya mchezo wa Polisi Tanzania, haraka aliwaambia viongozi wa timu hiyo, wamuongezee mkataba wa kuendelea kukipiga hapo. Aliongeza kuwa, kocha huyo bado anaendelea kuwatazama baadhi ya wachezaji wengine ambao mikataba yao inatarajiwa kumalizika mwishoni mwa msimu kwa ajili ya kupendekeza usajili wao. “Kocha Nabi ndiye anayependekeza usajili wote wa timu, hivyo kama yeye akipendekeza mchezaji fulani asajiliwe, basi hakutakuwa na pingamizi lolote kwa uongozi. “Hivyo Saido jina lake limependekezwa na Nabi ambaye amewaomba viongozi aongezewe mkataba wa kuendelea kuichezea Yanga. “Ni suala la muda tu, hivyo muda wowote atapewa mkataba mpya mara baada ya kukaa meza moja na viongozi kwa ajili ya kufanya mazungumzo,” alisema bosi huyo. Akizungumzia hilo, Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Frederick Mwakalebela, alisema: “Kila kitu kinachohusiana na usajili tumemuachia kocha, hivyo bado hatujakutana na kocha kujadiliana usajili.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom