Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mshery Afungukia Ujio wa Diarra Yanga.

KIPA wa Yanga, Aboutwalib Mshery amesema kuwa atatumia uwezo wa kipa mwenzake, Djigui Diarra katika kujifunza mambo mbalimbali ndani ya timu hiyo akiamini atamsaidia kufikia uwezo wa kimataifa.

Mshery ameongeza kuwa kwake wala hahofii nafasi ya kuanza katika kikosi cha kwanza mara baada ya kurejea kwa nyota huyo.

Diarra anarejea ndani ya Yanga baada ya kukosekana kwa muda kutokana na kwenda kulitumikia taifa lake la Mali kwenye Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) inayoendelea nchini Cameroon. Mali waliondolewa hatua ya 16 bora.

Mshery alisajiliwa maalum na Yanga kwa ajili ya kuziba nafasi ya Diarra akitokea Mtibwa Sugar ambapo kwa sasa kutakuwa na ushindani kati ya makipa hao.

Akizungumza na Championi Jumamosi, Mshery alisema kuwa anaamini uwepo wa Diarra utakuwa chachu kwake katika kujifunza mambo mengi mbalimbali kutokana na uwezo wake huku akiwa hana hofu juu ya kucheza kwa sababu ya uwepo wa michezo mingi kikosini humo.

“Diarra ni kipa mkubwa, ana uzoefu katika soka la Afrika hivyo natarajia kujifunza mambo mengi kutoka kwake, hivyo kuwa naye tu katika timu moja inatosha mimi kupata baadhi ya vitu ambavyo vitakuwa na msaada mkubwa kwangu.

“Kuhusu kupata nafasi mbele yake, naamini kocha ndiyo anafahamu zaidi lakini kwa upande wangu naamini kuna michezo mingi sana ya ligi kuu na Kombe la Shirikisho, hivyo naamini nafasi ya kucheza nitapata,” alisema kipa huyo.

[QUOTE="vuligate, post: 624, member: 123"] [HEADING=1]Mshery Afungukia Ujio wa Diarra Yanga.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2021/12/Aboutwalib-Hamidu-Mshery-1.jpg[/IMG] KIPA wa Yanga, Aboutwalib Mshery amesema kuwa atatumia uwezo wa kipa mwenzake, Djigui Diarra katika kujifunza mambo mbalimbali ndani ya timu hiyo akiamini atamsaidia kufikia uwezo wa kimataifa. Mshery ameongeza kuwa kwake wala hahofii nafasi ya kuanza katika kikosi cha kwanza mara baada ya kurejea kwa nyota huyo. Diarra anarejea ndani ya Yanga baada ya kukosekana kwa muda kutokana na kwenda kulitumikia taifa lake la Mali kwenye Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) inayoendelea nchini Cameroon. Mali waliondolewa hatua ya 16 bora. Mshery alisajiliwa maalum na Yanga kwa ajili ya kuziba nafasi ya Diarra akitokea Mtibwa Sugar ambapo kwa sasa kutakuwa na ushindani kati ya makipa hao. Akizungumza na [B]Championi Jumamosi, [/B]Mshery alisema kuwa anaamini uwepo wa Diarra utakuwa chachu kwake katika kujifunza mambo mengi mbalimbali kutokana na uwezo wake huku akiwa hana hofu juu ya kucheza kwa sababu ya uwepo wa michezo mingi kikosini humo. “Diarra ni kipa mkubwa, ana uzoefu katika soka la Afrika hivyo natarajia kujifunza mambo mengi kutoka kwake, hivyo kuwa naye tu katika timu moja inatosha mimi kupata baadhi ya vitu ambavyo vitakuwa na msaada mkubwa kwangu. “Kuhusu kupata nafasi mbele yake, naamini kocha ndiyo anafahamu zaidi lakini kwa upande wangu naamini kuna michezo mingi sana ya ligi kuu na Kombe la Shirikisho, hivyo naamini nafasi ya kucheza nitapata,” alisema kipa huyo. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom