Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mshery Aingia Anga za Diarra.

ABOUTWALIB Mshery, kipa namba mbili wa Yanga, ameingia anga za Djigui Diarra kwa kugandamizia yale ambayo aliyafanya katika mechi tatu za mwanzo sawa na dakika 270.

Mshery ambaye ni ingizo jipya ndani ya Yanga akitokea Mtibwa Sugar, katika mechi tatu za mwanzo za Ligi Kuu Bara, hajaruhusu bao akiwa ameanza mwendo kama ambavyo Diarra alianza msimu huu.

Diarra raia wa Mali ambaye ni kipa namba moja wa Yanga, alijiunga na timu hiyo mwanzoni mwa msimu huu

ambapo alianza namna hii katika Ligi Kuu Bara; Kagera Sugar 0-1 Yanga, Yanga 1-0 Geita Gold na KMC 0-2 Yanga.

Kipa huyo wakati akiwa hajaruhusu bao kwenye mechi hizo ambazo ni sawa na dakika 270 mbili wakicheza ugenini na moja nyumbani, Yanga ilifunga mabao manne na kukusanya pointi tisa.

Kwa upande wa Mshery, kwenye mechi tatu za kwanza za ligi alizokaa langoni tangu atue Yanga kipindi cha usajili wa dirisha dogo msimu huu, timu yake imefunga mabao saba na kukusanya pointi tisa.

Mechi za Mshery hizi hapa zikiwa mbili ugenini na moja nyumbani kama Diarra; Yanga 4-0 Dodoma, Coastal Union 0-2 Yanga na Polisi Tanzania 0-1 Yanga.

[QUOTE="Amir, post: 646, member: 20"] [HEADING=1]Mshery Aingia Anga za Diarra.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/mshery.jpeg[/IMG] ABOUTWALIB Mshery, kipa namba mbili wa Yanga, ameingia anga za Djigui Diarra kwa kugandamizia yale ambayo aliyafanya katika mechi tatu za mwanzo sawa na dakika 270. Mshery ambaye ni ingizo jipya ndani ya Yanga akitokea Mtibwa Sugar, katika mechi tatu za mwanzo za Ligi Kuu Bara, hajaruhusu bao akiwa ameanza mwendo kama ambavyo Diarra alianza msimu huu. Diarra raia wa Mali ambaye ni kipa namba moja wa Yanga, alijiunga na timu hiyo mwanzoni mwa msimu huu ambapo alianza namna hii katika Ligi Kuu Bara; Kagera Sugar 0-1 Yanga, Yanga 1-0 Geita Gold na KMC 0-2 Yanga. Kipa huyo wakati akiwa hajaruhusu bao kwenye mechi hizo ambazo ni sawa na dakika 270 mbili wakicheza ugenini na moja nyumbani, Yanga ilifunga mabao manne na kukusanya pointi tisa. Kwa upande wa Mshery, kwenye mechi tatu za kwanza za ligi alizokaa langoni tangu atue Yanga kipindi cha usajili wa dirisha dogo msimu huu, timu yake imefunga mabao saba na kukusanya pointi tisa. Mechi za Mshery hizi hapa zikiwa mbili ugenini na moja nyumbani kama Diarra; Yanga 4-0 Dodoma, Coastal Union 0-2 Yanga na Polisi Tanzania 0-1 Yanga. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom