Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Unaambiwa Nabi Hawazi Kingine Zaidi ya Ubingwa FA.

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema ushindi wa bao 1-0 walioupata dhidi ya Mbao FC kwenye Uwanja wa CCM Kirumba ni hatua nzuri kuwania Kombe la Shirikisho la Azam ambalo msimu uliopita walipoteza katika mchezo wa fainali.

Yanga ilipata bao dakika ya 54 lililofungwa na Fiston Mayele akimalizia kwa kichwa mpira wa krosi iliyopigwa na Farid Musa.

Matokeo hayo yameifanya Yanga kufuzu hatua ya 16 ambapo sasa watakutana na Ruvu Shooting ambayo imetinga hatua hiyo baada ya kuiondoa KMC kwa mikwaju ya penalti 6-5 baada ya dakika 90 kumalizika kwa sare ya bao 1-1.

Akizungumza juzi baada ya mchezo huo, Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi alisema ulikuwa mchezo mgumu kwani Mbao ni timu nzuri na kuwashukuru wachezaji kwa kupambana na kuibuka na ushindi.

“Ni jambo zuri kupata ushindi inakupa nguvu kuingia kwenye mchezo unaofuata ukiwa na ari na akili yetu tunaihamishia katika mchezo unaofuata ambao naamini hautakuwa rahisi,” alisema Nabi.

Kocha wa Mbao FC, Ibrahim Mumba alisema ubora wa Yanga hasa safu ya ulinzi ulikuwa kikwazo kushindwa kutumia nafasi walizopata na kuwafanya kuibuka na ushindi kwenye mchezo huo.

“Huu ulikuwa mchezo wetu muhimu kushinda katika mashindano ya Kombe la Shirikisho la Azam lakini tumeondolewa na sasa tunajipanga na michezo ya First League,” alisema Mumba.

[QUOTE="Amir, post: 648, member: 20"] [HEADING=1]Unaambiwa Nabi Hawazi Kingine Zaidi ya Ubingwa FA.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/nabi-pic-data.jpg[/IMG] KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema ushindi wa bao 1-0 walioupata dhidi ya Mbao FC kwenye Uwanja wa CCM Kirumba ni hatua nzuri kuwania Kombe la Shirikisho la Azam ambalo msimu uliopita walipoteza katika mchezo wa fainali. Yanga ilipata bao dakika ya 54 lililofungwa na Fiston Mayele akimalizia kwa kichwa mpira wa krosi iliyopigwa na Farid Musa. Matokeo hayo yameifanya Yanga kufuzu hatua ya 16 ambapo sasa watakutana na Ruvu Shooting ambayo imetinga hatua hiyo baada ya kuiondoa KMC kwa mikwaju ya penalti 6-5 baada ya dakika 90 kumalizika kwa sare ya bao 1-1. Akizungumza juzi baada ya mchezo huo, Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi alisema ulikuwa mchezo mgumu kwani Mbao ni timu nzuri na kuwashukuru wachezaji kwa kupambana na kuibuka na ushindi. “Ni jambo zuri kupata ushindi inakupa nguvu kuingia kwenye mchezo unaofuata ukiwa na ari na akili yetu tunaihamishia katika mchezo unaofuata ambao naamini hautakuwa rahisi,” alisema Nabi. Kocha wa Mbao FC, Ibrahim Mumba alisema ubora wa Yanga hasa safu ya ulinzi ulikuwa kikwazo kushindwa kutumia nafasi walizopata na kuwafanya kuibuka na ushindi kwenye mchezo huo. “Huu ulikuwa mchezo wetu muhimu kushinda katika mashindano ya Kombe la Shirikisho la Azam lakini tumeondolewa na sasa tunajipanga na michezo ya First League,” alisema Mumba. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom