Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kibwana Anahesabu Siku Yanga.

BEKI kiraka wa Yanga, Kibwana Shomari na mwenzake Abdallah Shaibu ‘Ninja’, wanahesabu siku tu

za kurudi uwanjani mara baada ya kupona majeraha yao.

Kibwana anayemudu kucheza beki wa kulia na kushoto, wiki mbili zilizopita alikwenda Tunisia sambamba

na Ninja kwa ajili ya kufanyiwa operesheni ya majeraha yanayowasumbua.

Kurejea kwa mabeki hao kutampa upana wa kikosi Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi katika michezo ijayo ya Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho la Azam Sports.

Kwa mujibu wa taarifa ambazo imezipata Spoti Xtra na kuthibitishwa na daktari wa timu hiyo, Youssef Ammar, mabeki hao watarejea uwanjani mara baada ya mchezo wa ligi dhidi ya Mbeya City utakaopigwa Februari 5, mwaka huu.

Ammar alisema mabeki hao wataanza kufanya mazoezi mepesi ya uwanjani baada ya kumaliza program ya gym wanayoendelea nayo hivi sasa.

“Kibwana na Ninja walifanyiwa operesheni ndogo ya goti ambayo itawarejesha haraka uwanjani tofauti na

Yacouba (Songne) ambaye operesheni yake ilikuwa kubwa na kumfanya kukaa nje karibia miezi minne.

“Hivyo Kibwana na Ninja upo uwezekano wa kujiunga na mazoezi ya uwanjani pamoja na wachezaji wenzake hivi

karibuni,” alisema Ammar.

[QUOTE="vuligate, post: 659, member: 123"] [HEADING=1]Kibwana Anahesabu Siku Yanga.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/kibwana_shomari_273112201_272030598349199_7772982237318078876_n.webp1_.jpg[/IMG] BEKI kiraka wa Yanga, Kibwana Shomari na mwenzake Abdallah Shaibu ‘Ninja’, wanahesabu siku tu za kurudi uwanjani mara baada ya kupona majeraha yao. Kibwana anayemudu kucheza beki wa kulia na kushoto, wiki mbili zilizopita alikwenda Tunisia sambamba na Ninja kwa ajili ya kufanyiwa operesheni ya majeraha yanayowasumbua. Kurejea kwa mabeki hao kutampa upana wa kikosi Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi katika michezo ijayo ya Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho la Azam Sports. [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/kibwana_shomari_271384970_452502713192771_5412131257490739282_n.jpg[/IMG] Kwa mujibu wa taarifa ambazo imezipata Spoti Xtra na kuthibitishwa na daktari wa timu hiyo, Youssef Ammar, mabeki hao watarejea uwanjani mara baada ya mchezo wa ligi dhidi ya Mbeya City utakaopigwa Februari 5, mwaka huu. Ammar alisema mabeki hao wataanza kufanya mazoezi mepesi ya uwanjani baada ya kumaliza program ya gym wanayoendelea nayo hivi sasa. “Kibwana na Ninja walifanyiwa operesheni ndogo ya goti ambayo itawarejesha haraka uwanjani tofauti na Yacouba (Songne) ambaye operesheni yake ilikuwa kubwa na kumfanya kukaa nje karibia miezi minne. “Hivyo Kibwana na Ninja upo uwezekano wa kujiunga na mazoezi ya uwanjani pamoja na wachezaji wenzake hivi karibuni,” alisema Ammar. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom