Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Yanga bado kidogo tu.

WANACHAMA na mashabiki wa Yanga wanaendelea kuchekelea mafanikio ya timu yao ndani ya msimu huu, lakini sasa wameongezewa mzuka baada ya mabosi wa klabu hiyo kuwapa taarifa kwamba Yanga ya kisasa bado kidogo tu.

Yanga ipo kwenye mchakato wa klabu yao kuendeshwa kisasa kwa mfumo wa hisa na Kaimu Mtendaji Mkuu wa Yanga, Senzo Mazingisa amewahakikisha wanayanga kuwa, bado siku chache kabla ya klabu hiyo haijaongozwa na Rais badala ya Mwenyekiti.

Katika mahojiano maalumu na Mwanaspoti, Senzo alisema kwa sasa wapo kwenye sehemu nzuri ya mabadiliko baada ya kupewa ruksa huku kamati zote za katiba mpya zinaendelea kuhakikisha mchakato huo unakamilika.

“Yanga haipo chini ya BMT tu. ipo pia kwa TFF na baada ya Katiba yetu kukamilika tuliipeleka kwao na wao wametupa miezi sita, wametuambia kila kitu kilichopo kwenye Katiba yetu kikamilike ndani ya miezi hiyo,” alisema.

Senzo alisema kwa sasa wanashughulikia kuwabadili mashabiki kuwa wanachama na hawana muda wa kupoteza kwani tayari mchakato huo unaendelea vizuri.

“Tumeanza kusajili wanachama wetu na namba zinaenda vizuri, mpaka sasa tunaona mabadiliko yanaenda vizuri na kutakuwa na mabadiliko ya kimuundo kwenye uongozi wa Yanga na lengo likiwa ni kupata muundo wa timu.”

Senzo alisema baada ya kukamilika kwa usajili wa wanachama wanageukia upande wa thamani halisi ya klabu yao ili wawekezaji wapate picha kamili ya Yanga kabla ya kuweka pesa zao akisisitiza hakutakuwa na cheo ya mwenyekiti na badala yake klabu hiyo itaongozwa na Rais wa Klabu.

[QUOTE="vuligate, post: 667, member: 123"] [HEADING=1]Yanga bado kidogo tu.[/HEADING] [IMG alt="yanga pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3701586/landscape_ratio16x9/1160/652/5db845442c177f6452700278a5e8acd2/oJ/yanga-pic.jpg[/IMG] WANACHAMA na mashabiki wa Yanga wanaendelea kuchekelea mafanikio ya timu yao ndani ya msimu huu, lakini sasa wameongezewa mzuka baada ya mabosi wa klabu hiyo kuwapa taarifa kwamba Yanga ya kisasa bado kidogo tu. Yanga ipo kwenye mchakato wa klabu yao kuendeshwa kisasa kwa mfumo wa hisa na Kaimu Mtendaji Mkuu wa Yanga, Senzo Mazingisa amewahakikisha wanayanga kuwa, bado siku chache kabla ya klabu hiyo haijaongozwa na Rais badala ya Mwenyekiti. Katika mahojiano maalumu na Mwanaspoti, Senzo alisema kwa sasa wapo kwenye sehemu nzuri ya mabadiliko baada ya kupewa ruksa huku kamati zote za katiba mpya zinaendelea kuhakikisha mchakato huo unakamilika. “Yanga haipo chini ya BMT tu. ipo pia kwa TFF na baada ya Katiba yetu kukamilika tuliipeleka kwao na wao wametupa miezi sita, wametuambia kila kitu kilichopo kwenye Katiba yetu kikamilike ndani ya miezi hiyo,” alisema. Senzo alisema kwa sasa wanashughulikia kuwabadili mashabiki kuwa wanachama na hawana muda wa kupoteza kwani tayari mchakato huo unaendelea vizuri. “Tumeanza kusajili wanachama wetu na namba zinaenda vizuri, mpaka sasa tunaona mabadiliko yanaenda vizuri na kutakuwa na mabadiliko ya kimuundo kwenye uongozi wa Yanga na lengo likiwa ni kupata muundo wa timu.” Senzo alisema baada ya kukamilika kwa usajili wa wanachama wanageukia upande wa thamani halisi ya klabu yao ili wawekezaji wapate picha kamili ya Yanga kabla ya kuweka pesa zao akisisitiza hakutakuwa na cheo ya mwenyekiti na badala yake klabu hiyo itaongozwa na Rais wa Klabu. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom