Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mwenye Y anga yake karudi, Fei Toto nje mwezi.

SIKIA hii. Mshindani mkubwa wa Aishi Manula wa Simba ni Djigui Diarra wa Yanga anayerejea leo Jijini Dar es Salaam akitokea kwenye Afcon ambako timu yake ya Mali ilitolewa hatua ya 16 Bora. Tangu Diarra aende Afcon, Aishi amecheza mechi nne na kuambulia pointi nne kwenye Ligi Kuu Bara. Mashabiki wa Yanga wanamsubiri kwa hamu Diarra kujiunga na kambi yao inayoanza leo kujiandaa na mechi ya Ligi dhidi ya Mbeya City itakayopigwa Jumamosi pale kwa Mkapa.

Lakini Diarra anarejea katika kipindi ambacho langoni anamkuta kipa mpya, Aboutwalib Mshery, aliyesajiliwa katika dirisha dogo la uhamisho akitokea Mtibwa Sugar, akiwa gari limewaka ile mbaya.

Diarra anatarajiwa kuchukua namba yake kikosini hata kama haitakuwa dhidi ya Mbeya City, ambao waliizamisha Simba 1-0 kwenye Uwanja wa Sokoine Januari 17, lakini bado uamuzi mzito unabaki mikononi mwa kocha Nasreddine Nabi na benchi lake la ufundi kuhusu nani aanze katika mechi hiyo ya Jumamosi.

Diarra hakupata nafasi ya kudaka katika Afcon ya nchini Cameroon iliyofikia hatua ya nusu fainali

hivi sasa, lakini uzoefu wake unatarajiwa kumbakisha kuwa namba moja katika kikosi cha Nabi huku Mshery akitarajiwa kumpa ushindani wa uhakika.

Mbali na mechi tatu za Kombe la Mapinduzi Zanzibar ambako Yanga walitolewa kwa penalti katika nusu fainali dhidi ya Azam FC, Mshery amesimama langoni katika mechi nyingine tatu za Ligi Kuu Bara ambazo hajaruhusu bao hata moja dhidi ya Dodoma Jiji (4-0), Coastal Union (2-0) na Polisi Tanzania (1-0) na amedaka pia mechi nyingine moja ya Kombe la Shirikisho (ASFC) waliyoshinda 1-0 dhidi ya Mbao FC.

Kocha Nabi atakuwa na mtihani wa kuamua nani asimame langoni wakati wa mechi na Mbeya City kabla ya kuwavaa Biashara United katika mechi ya hatua ya 16-Bora ya Kombe la Shirikisho kati ya Februari 12 hadi 17, mwaka huu.Yanga imeanza mazoezi yake jana na leo wachezaji wanaingia rasmi kambini kujiandaa na mechi hizo lakini itawakosa baadhi ya nyota wao ambao ni majeruhi akiwemo Feisal Salum ‘Fei Toto’ anayesumbuliwa na nyama za paja na atakuwa nje mwezi mmoja, Abdallah Shaibu ‘Ninja’,

Yacouba Sogne na Kibwana Shomary ingawa hawa watatu wameanza mazoezi mepesi.

Katika mazoezi ya jana pia iliwakosa nyota Said Ntibazonkiza, Kocha Msaidizi Cedric Kaze ambao wapo kwao Burundi kwa ruhusa maalumu kama ilivyo kwa Heritier Makambo, huku Djuma Shabani na Yanick Bangala nao wakiwa kwenye timu yao ya taifa ya DR Congo iliyokuwa ikicheza mechi ya kirafiki.

Nabi alisema hivi sasa ratiba ya mazoezi inayofuata ni kurudisha miili ya wachezaji katika utimamu na hali ya kiushindani na ndani yake watafanya mazoezi ya mbinu kulingana na kile walichokionyesha katika mechi iliyopita na Mbao.

“Kuna maeneo tulifanya makosa hapo tutapambana kurekebisha ili kuondoa makosa hayo katika mechi zijazo na tulipokuwa imara kuboresha ili kufanya vizuri zaidi, akili yetu na nguvu sasa ni mechi ya Mbeya City tufanye vizuri kwa kupata ushindi na kujiweka katika mazingira mazuri kwenye msimamo wa ligi,” alisema na kuongeza:

“Baada ya kumalizana na Mbeya City na kufahamu tulichokipata akili na nguvu zitahamia michezo inayofuata ikiwamo ya Biashara na ya Ligi Kuu dhidi ya Mtibwa Sugar tutakayokuwa ugenini.”

[QUOTE="vuligate, post: 682, member: 123"] [HEADING=1]Mwenye Y anga yake karudi, Fei Toto nje mwezi.[IMG alt="Diarra PIC"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3633948/landscape_ratio16x9/1160/652/5534832d3b28615daac921d9499e35d3/eP/diarra-pic.jpg[/IMG][/HEADING] SIKIA hii. Mshindani mkubwa wa Aishi Manula wa Simba ni Djigui Diarra wa Yanga anayerejea leo Jijini Dar es Salaam akitokea kwenye Afcon ambako timu yake ya Mali ilitolewa hatua ya 16 Bora. Tangu Diarra aende Afcon, Aishi amecheza mechi nne na kuambulia pointi nne kwenye Ligi Kuu Bara. Mashabiki wa Yanga wanamsubiri kwa hamu Diarra kujiunga na kambi yao inayoanza leo kujiandaa na mechi ya Ligi dhidi ya Mbeya City itakayopigwa Jumamosi pale kwa Mkapa. Lakini Diarra anarejea katika kipindi ambacho langoni anamkuta kipa mpya, Aboutwalib Mshery, aliyesajiliwa katika dirisha dogo la uhamisho akitokea Mtibwa Sugar, akiwa gari limewaka ile mbaya. Diarra anatarajiwa kuchukua namba yake kikosini hata kama haitakuwa dhidi ya Mbeya City, ambao waliizamisha Simba 1-0 kwenye Uwanja wa Sokoine Januari 17, lakini bado uamuzi mzito unabaki mikononi mwa kocha Nasreddine Nabi na benchi lake la ufundi kuhusu nani aanze katika mechi hiyo ya Jumamosi. Diarra hakupata nafasi ya kudaka katika Afcon ya nchini Cameroon iliyofikia hatua ya nusu fainali hivi sasa, lakini uzoefu wake unatarajiwa kumbakisha kuwa namba moja katika kikosi cha Nabi huku Mshery akitarajiwa kumpa ushindani wa uhakika. Mbali na mechi tatu za Kombe la Mapinduzi Zanzibar ambako Yanga walitolewa kwa penalti katika nusu fainali dhidi ya Azam FC, Mshery amesimama langoni katika mechi nyingine tatu za Ligi Kuu Bara ambazo hajaruhusu bao hata moja dhidi ya Dodoma Jiji (4-0), Coastal Union (2-0) na Polisi Tanzania (1-0) na amedaka pia mechi nyingine moja ya Kombe la Shirikisho (ASFC) waliyoshinda 1-0 dhidi ya Mbao FC. Kocha Nabi atakuwa na mtihani wa kuamua nani asimame langoni wakati wa mechi na Mbeya City kabla ya kuwavaa Biashara United katika mechi ya hatua ya 16-Bora ya Kombe la Shirikisho kati ya Februari 12 hadi 17, mwaka huu.Yanga imeanza mazoezi yake jana na leo wachezaji wanaingia rasmi kambini kujiandaa na mechi hizo lakini itawakosa baadhi ya nyota wao ambao ni majeruhi akiwemo Feisal Salum ‘Fei Toto’ anayesumbuliwa na nyama za paja na atakuwa nje mwezi mmoja, Abdallah Shaibu ‘Ninja’, Yacouba Sogne na Kibwana Shomary ingawa hawa watatu wameanza mazoezi mepesi. Katika mazoezi ya jana pia iliwakosa nyota Said Ntibazonkiza, Kocha Msaidizi Cedric Kaze ambao wapo kwao Burundi kwa ruhusa maalumu kama ilivyo kwa Heritier Makambo, huku Djuma Shabani na Yanick Bangala nao wakiwa kwenye timu yao ya taifa ya DR Congo iliyokuwa ikicheza mechi ya kirafiki. Nabi alisema hivi sasa ratiba ya mazoezi inayofuata ni kurudisha miili ya wachezaji katika utimamu na hali ya kiushindani na ndani yake watafanya mazoezi ya mbinu kulingana na kile walichokionyesha katika mechi iliyopita na Mbao. “Kuna maeneo tulifanya makosa hapo tutapambana kurekebisha ili kuondoa makosa hayo katika mechi zijazo na tulipokuwa imara kuboresha ili kufanya vizuri zaidi, akili yetu na nguvu sasa ni mechi ya Mbeya City tufanye vizuri kwa kupata ushindi na kujiweka katika mazingira mazuri kwenye msimamo wa ligi,” alisema na kuongeza: “Baada ya kumalizana na Mbeya City na kufahamu tulichokipata akili na nguvu zitahamia michezo inayofuata ikiwamo ya Biashara na ya Ligi Kuu dhidi ya Mtibwa Sugar tutakayokuwa ugenini.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom