Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

SUBIRA KWA MASHABIKI

Mfikirwa anasema mambo mazuri hayataki haraka, hivyo mashabiki wawe na subira wakati viongozi wanapambana kuitengeneza timu iwe na muundo mzuri na kupata matokeo bora.

“Waswahili wanasema ukiona vinaelea ujue vimeundwa na kwenye miradi hii kuna siku tutashuka na siku tutapanda kama barabara ndefu itakuwa na kona na milima,” anasema.

“(Wanachama) waendelee kuisapoti timu na viongozi. Tumekaa muda mrefu bila mataji lakini tukiwa pamoja na kila mtu akitimiza wajibu wake tutafikia malengo yetu.”

Senzo anatia msisitizo akisema, “kitu kikubwa ni kupata ushindi na pointi tatu. Nawaomba mashabiki waisapoti timu kwa kuja viwanjani na kuwapa nguvu wachezaji, unajua hata wachezaji wataona wanasapotiwa vizuri. Wakati huohuo waendelee kujisajili.”

[QUOTE="Amir, post: 691, member: 20"] [B]SUBIRA KWA MASHABIKI[/B] Mfikirwa anasema mambo mazuri hayataki haraka, hivyo mashabiki wawe na subira wakati viongozi wanapambana kuitengeneza timu iwe na muundo mzuri na kupata matokeo bora. “Waswahili wanasema ukiona vinaelea ujue vimeundwa na kwenye miradi hii kuna siku tutashuka na siku tutapanda kama barabara ndefu itakuwa na kona na milima,” anasema. “(Wanachama) waendelee kuisapoti timu na viongozi. Tumekaa muda mrefu bila mataji lakini tukiwa pamoja na kila mtu akitimiza wajibu wake tutafikia malengo yetu.” Senzo anatia msisitizo akisema, “kitu kikubwa ni kupata ushindi na pointi tatu. Nawaomba mashabiki waisapoti timu kwa kuja viwanjani na kuwapa nguvu wachezaji, unajua hata wachezaji wataona wanasapotiwa vizuri. Wakati huohuo waendelee kujisajili.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom