Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mayele Limemkuta Jambo Yanga.

BAADA ya kuona mabeki wa timu pinzani wakimkamia kila wanapokuwa uwanjani, Kocha Mkuu wa Yanga raia wa Tunisia, Nasreddine Nabi, amemtaka straika wake, Fiston Mayele kuhakikisha hakai na mpira mguuni kwa muda mrefu ili kujiepusha na kupata majeraha yatakayoigharimu timu.

Mayele ndiye straika tegemeo kwenye kikosi cha Yanga akiwa kinara wa mabao akifunga sita ndani ya Ligi Kuu Bara, huku wikiendi iliyopita akifunga bao pekee kwenye ushindi wa 1-0 dhidi ya Mbao FC na kufuzu 16 bora ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports.

Kocha Nabi ambaye aliungana na Yanga Machi 2021, msimu huu amepania kubeba ubingwa wa Ligi Kuu Bara ambapo hadi sasa ameiongoza timu hiyo kukaa kileleni mwa msimamo kwa kukusanya pointi 35 kwenye mechi 13 akishinda 11, sare mbili, hajapoteza.

Chanzo kutoka Yanga, kimeliambia Spoti Xtra kwamba, kufuatia mwenendo mzuri wa Mayele katika safu ya ushambuliaji, Nabi amemtaka kuwa makini na wapinzani ambao akifanya mzaha, watamuumiza na kuigharimu timu.

“Kocha amemtaka Mayele kuwa makini zaidi awapo uwanjani ili kuepuka kupata majeraha ambayo yataigharimu

timu.

“Ukiangalia hivi sasa wapinzani wanawakamia sana wachezaji wetu, hivyo amemtaka kutokaa sana na mpira mguuni

na badala yake awe anaachia haraka akipewa pasi au afunge akiona kuna nafasi ya kufanya hivyo.

“Mbinu hiyo itamfanya hata yule mwenye nia ya kutaka kumuumiza kushindwa kufanikisha jambo lake,” kilisema chanzo hicho.

[QUOTE="Amir, post: 704, member: 20"] [HEADING=1]Mayele Limemkuta Jambo Yanga.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/yangasc_272929964_899875410699999_6070729047343910339_n.jpg[/IMG] BAADA ya kuona mabeki wa timu pinzani wakimkamia kila wanapokuwa uwanjani, Kocha Mkuu wa Yanga raia wa Tunisia, Nasreddine Nabi, amemtaka straika wake, Fiston Mayele kuhakikisha hakai na mpira mguuni kwa muda mrefu ili kujiepusha na kupata majeraha yatakayoigharimu timu. Mayele ndiye straika tegemeo kwenye kikosi cha Yanga akiwa kinara wa mabao akifunga sita ndani ya Ligi Kuu Bara, huku wikiendi iliyopita akifunga bao pekee kwenye ushindi wa 1-0 dhidi ya Mbao FC na kufuzu 16 bora ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports. Kocha Nabi ambaye aliungana na Yanga Machi 2021, msimu huu amepania kubeba ubingwa wa Ligi Kuu Bara ambapo hadi sasa ameiongoza timu hiyo kukaa kileleni mwa msimamo kwa kukusanya pointi 35 kwenye mechi 13 akishinda 11, sare mbili, hajapoteza. Chanzo kutoka Yanga, kimeliambia Spoti Xtra kwamba, kufuatia mwenendo mzuri wa Mayele katika safu ya ushambuliaji, Nabi amemtaka kuwa makini na wapinzani ambao akifanya mzaha, watamuumiza na kuigharimu timu. “Kocha amemtaka Mayele kuwa makini zaidi awapo uwanjani ili kuepuka kupata majeraha ambayo yataigharimu timu. “Ukiangalia hivi sasa wapinzani wanawakamia sana wachezaji wetu, hivyo amemtaka kutokaa sana na mpira mguuni na badala yake awe anaachia haraka akipewa pasi au afunge akiona kuna nafasi ya kufanya hivyo. “Mbinu hiyo itamfanya hata yule mwenye nia ya kutaka kumuumiza kushindwa kufanikisha jambo lake,” kilisema chanzo hicho. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom