Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mastaa Yanga Wazuiwa Kula Burger, Pizza.

KATIKA kuhakikisha wachezaji wake wanaepukana na majeraha ya mara kwa mara, Daktari wa Viungo waYanga,

MtunisiaYoussefAmmar amewapiga stop mastaa wa timu hiyo kutumia vyakula aina ya Burger na Pizza.

Hiyo ni katika kuhakikisha wanapunguza ongezeko la wachezaji wenye majeraha katika kikosi chao hicho ambacho kimepiga kambi hukoAvic Town, Kigamboni nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.

Daktari huyo hivi sasa anawapambania nyota wake watatu warejee uwanjani ambao aliwapeleka nchini Tunisia kwa ajili yakufanyiwa upasuaji hivi karibuni kutokana na kuwa matatizo ya goti.

Wachezaji hao waliofanyiwa upasuaji ni Kibwana Shomari, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ na Mburkinabe,Yacouba

Songne.

Akizungumza na Championi Jumatano, Ammar alisema kuwa vyakula vya aina hiyo ya Burger na Pizza chanzo cha

wachezaji kupata majeraha yasiyotegemewa katika timu.

Ammar alisema kuwa tayari amewataarifu wachezaji kula vyakula vinavyohitajika ikiwemo ‘sea food’ili kuzuia majeraha yanayoepukika katika timu.

“Hili la ubovu wa viwanja lipo wazi kabisa, ndiyo chanzo cha wachezaji kupata majeraha kama vile magoti na enka ambalo kuepukika ni ngumu kutokana na miundombinu ya viwanja vya hapa nchini.

“Lakini lipo hili la vyakula, linaweza kuepukika kabisa kwa wachezaji kufahamu madhara watakayopata kutokana na vyakula ambavyo wanavyotakiwa kula katika maisha yao binafsi ya nyumbani tofauti na kambini ambako ni ngumu

kupikwa.

“Hivyo wachezaji hawatakiwi kula vyakula vya aina ya Burger na Pizza kwa faida yao na timu, kwani wanapokosekana katika mechi kutokana na tatizo la majeraha wanaidhohofisha timu,” alisemaAmmar

[QUOTE="Amir, post: 706, member: 20"] [HEADING=1]Mastaa Yanga Wazuiwa Kula Burger, Pizza.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/yangasc_272956522_621035745676948_9039599249652413405_n.jpg[/IMG] KATIKA kuhakikisha wachezaji wake wanaepukana na majeraha ya mara kwa mara, Daktari wa Viungo waYanga, MtunisiaYoussefAmmar amewapiga stop mastaa wa timu hiyo kutumia vyakula aina ya Burger na Pizza. Hiyo ni katika kuhakikisha wanapunguza ongezeko la wachezaji wenye majeraha katika kikosi chao hicho ambacho kimepiga kambi hukoAvic Town, Kigamboni nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. Daktari huyo hivi sasa anawapambania nyota wake watatu warejee uwanjani ambao aliwapeleka nchini Tunisia kwa ajili yakufanyiwa upasuaji hivi karibuni kutokana na kuwa matatizo ya goti. Wachezaji hao waliofanyiwa upasuaji ni Kibwana Shomari, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ na Mburkinabe,Yacouba Songne. Akizungumza na Championi Jumatano, Ammar alisema kuwa vyakula vya aina hiyo ya Burger na Pizza chanzo cha wachezaji kupata majeraha yasiyotegemewa katika timu. Ammar alisema kuwa tayari amewataarifu wachezaji kula vyakula vinavyohitajika ikiwemo ‘sea food’ili kuzuia majeraha yanayoepukika katika timu. “Hili la ubovu wa viwanja lipo wazi kabisa, ndiyo chanzo cha wachezaji kupata majeraha kama vile magoti na enka ambalo kuepukika ni ngumu kutokana na miundombinu ya viwanja vya hapa nchini. “Lakini lipo hili la vyakula, linaweza kuepukika kabisa kwa wachezaji kufahamu madhara watakayopata kutokana na vyakula ambavyo wanavyotakiwa kula katika maisha yao binafsi ya nyumbani tofauti na kambini ambako ni ngumu kupikwa. “Hivyo wachezaji hawatakiwi kula vyakula vya aina ya Burger na Pizza kwa faida yao na timu, kwani wanapokosekana katika mechi kutokana na tatizo la majeraha wanaidhohofisha timu,” alisemaAmmar [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom