Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Wauza Jezi Feki za Yanga Wanaswa Dar.

JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limewakamata watu 17 kwa tuhuma za kuuza jezi bandia za timu ya Yanga Afrika 1,208 zinazotengenezwa na kusambazwa na kampuni ya GSM.

Kazi hiyo ilifanyika katika maeneo mbali mbali ya Jiji Dar es salaam, lakini pia kwa kushirikiana na baadhi ya mikoa nchini kwa kipindi cha kuanzia tarehe Januari 2 hadi Januari 28, 2022.

Kamanda wa Polisi Kanda Malalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema katika Jiji la Dar es salaam Jeshi la Polisi limewakamata watuhumiwa watano, akiwemo Zahiri Hassan (17) aliyekutwa Uwanja Benjamin William Mkapa akiwa na Jezi bandia za timu ya Yanga seti 52.

Wengine ni Majiba Ndahya (50) ambaye alikamatwa maeneo ya Kariakoo mtaa wa Agrey akiwa na Jezi seti 124, Mohamed Ramadhani alikutwa na Jezi seti 86, John Staslaus alikamatwa na Jezi seti 39 na Emmanuel Kinasa alikutwa na Jezi seti 60.

“Watuhumiwa hao waliwataja wenzao wa Zanzibar, ambapo Uwanja wa Amani watuhumiwa watatu walikutwa na Jezi bandia seti 36, Jezi zingine bandia 134 zilipatikana kwa kushirikiana na Polisi Mkoa wa Tanga na Mwanza ambapo watuhumiwa tisa walikutwa na Jezi seti 811.

Aidha Kamanda Muliro amesema Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam linawatahadharisha wananchi wote wanaojihusisha na vitendo vya kutengeneza, kuuza na kusambaza, bidhaa kwa kuiga au kufananisha nembo za biashara au huduma za watu wengine iliyosajiliwa kisheria, kufanya hivyo ni kosa na kinyume na sheria za nchi.

“Jeshi la Polisi litashirikiana na mamlaka nyingine za kisheria ili kuona watuhumiwa wamechukuliwa hatua kali za kisheria,” amesema Kamanda Muliro.

[QUOTE="Amir, post: 707, member: 20"] [HEADING=1]Wauza Jezi Feki za Yanga Wanaswa Dar.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/jeszi-fekii.jpg[/IMG] JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limewakamata watu 17 kwa tuhuma za kuuza jezi bandia za timu ya Yanga Afrika 1,208 zinazotengenezwa na kusambazwa na kampuni ya GSM. Kazi hiyo ilifanyika katika maeneo mbali mbali ya Jiji Dar es salaam, lakini pia kwa kushirikiana na baadhi ya mikoa nchini kwa kipindi cha kuanzia tarehe Januari 2 hadi Januari 28, 2022. Kamanda wa Polisi Kanda Malalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema katika Jiji la Dar es salaam Jeshi la Polisi limewakamata watuhumiwa watano, akiwemo Zahiri Hassan (17) aliyekutwa Uwanja Benjamin William Mkapa akiwa na Jezi bandia za timu ya Yanga seti 52. Wengine ni Majiba Ndahya (50) ambaye alikamatwa maeneo ya Kariakoo mtaa wa Agrey akiwa na Jezi seti 124, Mohamed Ramadhani alikutwa na Jezi seti 86, John Staslaus alikamatwa na Jezi seti 39 na Emmanuel Kinasa alikutwa na Jezi seti 60. “Watuhumiwa hao waliwataja wenzao wa Zanzibar, ambapo Uwanja wa Amani watuhumiwa watatu walikutwa na Jezi bandia seti 36, Jezi zingine bandia 134 zilipatikana kwa kushirikiana na Polisi Mkoa wa Tanga na Mwanza ambapo watuhumiwa tisa walikutwa na Jezi seti 811. Aidha Kamanda Muliro amesema Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam linawatahadharisha wananchi wote wanaojihusisha na vitendo vya kutengeneza, kuuza na kusambaza, bidhaa kwa kuiga au kufananisha nembo za biashara au huduma za watu wengine iliyosajiliwa kisheria, kufanya hivyo ni kosa na kinyume na sheria za nchi. “Jeshi la Polisi litashirikiana na mamlaka nyingine za kisheria ili kuona watuhumiwa wamechukuliwa hatua kali za kisheria,” amesema Kamanda Muliro. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom