Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mayele: Huu mwaka wa Yanga.

‘HUU ni mwaka wa Yanga’ hiyo ni kauli ya straika wa timu hiyo Fiston Mayele, akiwaambia mashabiki wa timu hiyo, licha ya kukutana na changamoto ya baadhi ya viwanja vya mkoani, hawataacha kitu.

Akizungumza na Mwanaspoti, Mayele alisema kuna wakati wakicheza mikoani, wanakumbana na changamoto ya kushindwa kucheza kwa ushindani wa mbinu kutokana na viwanja, lakini wanachokiangalia ni kupata matokeo ya kuendelea kuwaweka kileleni.

“Huu ni mwaka wa Yanga, hatutaacha kitu iwe mechi za mkoani ama za Dar es Salaam, nimeona changamoto ya viwanja kwa baadhi ya mikoa ambayo tumecheza, ila jambo la msingi kwetu ni pointi tatu,” alisema na akaongeza;

“Niwe mkweli nikicheza Uwanja wa Mkapa, najisikia vizuri zaidi, kwani ni mzuri unaomfanya mchezaji acheze kwa uhuru bila kuhofia kupata majeraha na ufundi na mbinu vinakuwa vinatawala,” alisema.

Hadi sasa Mayele ndiye anaongoza kwa mabao sita na asisti mbili ndani ya kikosi cha Yanga.

[QUOTE="Amir, post: 712, member: 20"] [HEADING=1]Mayele: Huu mwaka wa Yanga.[/HEADING] [IMG alt="mayele pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3692298/landscape_ratio16x9/1160/652/90ffe7a9b5b9712bf95b673274eec7e0/sw/mayele-pic.jpg[/IMG] ‘HUU ni mwaka wa Yanga’ hiyo ni kauli ya straika wa timu hiyo Fiston Mayele, akiwaambia mashabiki wa timu hiyo, licha ya kukutana na changamoto ya baadhi ya viwanja vya mkoani, hawataacha kitu. Akizungumza na Mwanaspoti, Mayele alisema kuna wakati wakicheza mikoani, wanakumbana na changamoto ya kushindwa kucheza kwa ushindani wa mbinu kutokana na viwanja, lakini wanachokiangalia ni kupata matokeo ya kuendelea kuwaweka kileleni. “Huu ni mwaka wa Yanga, hatutaacha kitu iwe mechi za mkoani ama za Dar es Salaam, nimeona changamoto ya viwanja kwa baadhi ya mikoa ambayo tumecheza, ila jambo la msingi kwetu ni pointi tatu,” alisema na akaongeza; “Niwe mkweli nikicheza Uwanja wa Mkapa, najisikia vizuri zaidi, kwani ni mzuri unaomfanya mchezaji acheze kwa uhuru bila kuhofia kupata majeraha na ufundi na mbinu vinakuwa vinatawala,” alisema. Hadi sasa Mayele ndiye anaongoza kwa mabao sita na asisti mbili ndani ya kikosi cha Yanga. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom