Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Chico Aandaliwa kwa Kazi Maalum Yanga.

PAMOJA na mashabiki wa Yanga kuendelea kuwa na shauku ya kutaka kumuona winga wao mpya raia wa DR Congo, Chico Ushindi akifanya mambo yale aliyokuwa akiyaonesha enzi hizo akiwa na TP Mazembe, unaambiwa kocha wa timu hiyo, Nasreddine Nabi, kumbe anamuandaa kwa ajili ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara.

Winga huyo amejiunga na Yanga kwenye usajili wa dirisha dogo uliofungwa Januari 15, mwaka huu akitokea TP Mazembe.

Chanzo chetu kutoka katika kambi ya Yanga iliyopo Avic Town, Kigamboni, Dar, kimeliambia Spoti Xtra kuwa, malengo ya Nabi ni kumtumia zaidi Chiko katika mzunguko wa pili wa ligi, hivyo kwa sasa anajitahidi kuhakikisha anampa nafasi ya kuzoea mazingira ili aje kuongeza nguvu katika mbio za kuwania ubingwa.

“Ukiambiwa usajili wa kocha wetu Nabi siyo wa kukurupuka basi huna haja ya kubishana na hilo, kwani hadi sasa anadhihirisha kwa Chico Ushindi ambaye amemsajili hivi karibuni kutoka TP Mazembe, kwani amesema hana haraka ya kumpa presha badala yake ataendelea kumuingiza katika mfumo wake taratibu mpaka pale atakapozoea.

“Malengo yake siyo kumuona Ushindi akicheza tu, ila anahitaji kumpa muda mzuri wa kurejea katika ubora wake kwani alikotoka alikuwa hapati nafasi mara kwa mara, hivyo anamuandaa kwa ajili ya mzunguko ujao ambapo wachezaji wengi huwa wanakumbwa na majeraha,” kilisema chanzo hicho.

Hivi karibuni, Nabi alimzungumzia kiungo huyo akisema: “Ninaamini uwezo wa Ushindi uwanjani, hivyo hilo sina hofu nalo kabisa, usajili wake mimi ndiyo nilioupendekeza, ni suala la muda tu kuonesha ubora wake.”

Yanga imebakiwa na mechi mbili kukamilisha mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Bara ambapo inaongoza ligi hiyo ikiwa na pointi 35.

[QUOTE="Amir, post: 723, member: 20"] [HEADING=1]Chico Aandaliwa kwa Kazi Maalum Yanga.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/chico-ushindi-yanga.jpg[/IMG] PAMOJA na mashabiki wa Yanga kuendelea kuwa na shauku ya kutaka kumuona winga wao mpya raia wa DR Congo, Chico Ushindi akifanya mambo yale aliyokuwa akiyaonesha enzi hizo akiwa na TP Mazembe, unaambiwa kocha wa timu hiyo, Nasreddine Nabi, kumbe anamuandaa kwa ajili ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara. Winga huyo amejiunga na Yanga kwenye usajili wa dirisha dogo uliofungwa Januari 15, mwaka huu akitokea TP Mazembe. Chanzo chetu kutoka katika kambi ya Yanga iliyopo Avic Town, Kigamboni, Dar, kimeliambia Spoti Xtra kuwa, malengo ya Nabi ni kumtumia zaidi Chiko katika mzunguko wa pili wa ligi, hivyo kwa sasa anajitahidi kuhakikisha anampa nafasi ya kuzoea mazingira ili aje kuongeza nguvu katika mbio za kuwania ubingwa. “Ukiambiwa usajili wa kocha wetu Nabi siyo wa kukurupuka basi huna haja ya kubishana na hilo, kwani hadi sasa anadhihirisha kwa Chico Ushindi ambaye amemsajili hivi karibuni kutoka TP Mazembe, kwani amesema hana haraka ya kumpa presha badala yake ataendelea kumuingiza katika mfumo wake taratibu mpaka pale atakapozoea. “Malengo yake siyo kumuona Ushindi akicheza tu, ila anahitaji kumpa muda mzuri wa kurejea katika ubora wake kwani alikotoka alikuwa hapati nafasi mara kwa mara, hivyo anamuandaa kwa ajili ya mzunguko ujao ambapo wachezaji wengi huwa wanakumbwa na majeraha,” kilisema chanzo hicho. Hivi karibuni, Nabi alimzungumzia kiungo huyo akisema: “Ninaamini uwezo wa Ushindi uwanjani, hivyo hilo sina hofu nalo kabisa, usajili wake mimi ndiyo nilioupendekeza, ni suala la muda tu kuonesha ubora wake.” Yanga imebakiwa na mechi mbili kukamilisha mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Bara ambapo inaongoza ligi hiyo ikiwa na pointi 35. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom