Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Tuisila Kisinda Atuma Salamu Yanga.

ALIYEKUWA winga wa Yanga, Tuisila Kisinda, amefunguka kufurahishwa na klabu yake ya zamani kuongoza ligi kwa alama nyingi dhidi ya Simba huku akiweka wazi kuwa matamanio yake ni kuiona Yanga ikitwaa ubingwa msimu huu.

Kisinda ambaye amedumu kwa msimu mmoja pekee ndani ya Yanga, kwa sasa anakipiga katika Klabu ya RS Berkane ya nchini Morocco inayonolewa na kocha Florent Ibenge.

Akizungumza na Championi Ijumaa, Kisinda alisema kuwa anajisikia furaha kuona timu yake ya awali ikiwa inafanya vizuri katika msimamo wa ligi kuu huku akiweka wazi kuwa anatamani kuona timu hiyo ikitwaa ubingwa msimu huu mara baada ya msimu uliopita kuukosa.

“Nafurahi kuiona Yanga ikiwa inaongoza mbele ya Simba tena kwa pointi nyingi, msimu uliopita ubingwa haukuwa kwa Yanga lakini kwa hiki ambacho kinaendelea kwa sasa ni dalili nzuri za ubingwa.

“Mimi napenda kuiona Yanga ikifanikiwa mara baada ya kushindwa kutwaa kwa muda mrefu ubingwa wa ligi kuu, hivyo nitafurahi kama ndoto hizo zitakamilika kwa Wanayanga kufurahia ubingwa wao,” alisema mshambuliaji huyo.

[QUOTE="vuligate, post: 742, member: 123"] [HEADING=1]Tuisila Kisinda Atuma Salamu Yanga.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/269734588_447189670231791_895064827705611607_n.jpg[/IMG] ALIYEKUWA winga wa Yanga, Tuisila Kisinda, amefunguka kufurahishwa na klabu yake ya zamani kuongoza ligi kwa alama nyingi dhidi ya Simba huku akiweka wazi kuwa matamanio yake ni kuiona Yanga ikitwaa ubingwa msimu huu. Kisinda ambaye amedumu kwa msimu mmoja pekee ndani ya Yanga, kwa sasa anakipiga katika Klabu ya RS Berkane ya nchini Morocco inayonolewa na kocha Florent Ibenge. Akizungumza na Championi Ijumaa, Kisinda alisema kuwa anajisikia furaha kuona timu yake ya awali ikiwa inafanya vizuri katika msimamo wa ligi kuu huku akiweka wazi kuwa anatamani kuona timu hiyo ikitwaa ubingwa msimu huu mara baada ya msimu uliopita kuukosa. “Nafurahi kuiona Yanga ikiwa inaongoza mbele ya Simba tena kwa pointi nyingi, msimu uliopita ubingwa haukuwa kwa Yanga lakini kwa hiki ambacho kinaendelea kwa sasa ni dalili nzuri za ubingwa. “Mimi napenda kuiona Yanga ikifanikiwa mara baada ya kushindwa kutwaa kwa muda mrefu ubingwa wa ligi kuu, hivyo nitafurahi kama ndoto hizo zitakamilika kwa Wanayanga kufurahia ubingwa wao,” alisema mshambuliaji huyo. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom