Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Nkane Abakiza Siku 14 tu Kukiwasha Yanga.

HABARI nzuri kwa Wanayanga ni kuwa baada ya siku 14 tu watapata kuona maufundi ya kiungo wao mshambuliaji, Denis Nkane ambaye alikuwa nje kwa sababu ya majeraha.

Kiungo huyo kwa muda hakuwa dimbani baada ya kupata majeraha ya kinena kwenye Kombe la Mapinduzi lililofanyika Januari, mwaka huu visiwani Zanzibar.

Akizungumza na Championi Jumamosi, Dokta wa Yanga, Youssef Mohammed alisema kiungo huyo amebakiza wiki mbili pekee kabla ya kurudi dimbani huku kukiwa na wachezaji wengine nao wakianza mazoezi.

“Kuna baadhi ya wachezaji kama Feisal ambao walikuwa majeruhi tayari wameanza mazoezi lakini kwa upande wa Nkane (Denis) bado ni majeruhi.

“Nkane alikuwa na jeraha la kinena ambalo lilipaswa kumuweka nje kwa muda wa mwezi lakini mpaka sasa amebakiwa na wiki mbili kwa ajili ya kurejea uwanjani.”

[QUOTE="vuligate, post: 753, member: 123"] [HEADING=1]Nkane Abakiza Siku 14 tu Kukiwasha Yanga.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/1.jpeg[/IMG] HABARI nzuri kwa Wanayanga ni kuwa baada ya siku 14 tu watapata kuona maufundi ya kiungo wao mshambuliaji, Denis Nkane ambaye alikuwa nje kwa sababu ya majeraha. Kiungo huyo kwa muda hakuwa dimbani baada ya kupata majeraha ya kinena kwenye Kombe la Mapinduzi lililofanyika Januari, mwaka huu visiwani Zanzibar. Akizungumza na Championi Jumamosi, Dokta wa Yanga, Youssef Mohammed alisema kiungo huyo amebakiza wiki mbili pekee kabla ya kurudi dimbani huku kukiwa na wachezaji wengine nao wakianza mazoezi. “Kuna baadhi ya wachezaji kama Feisal ambao walikuwa majeruhi tayari wameanza mazoezi lakini kwa upande wa Nkane (Denis) bado ni majeruhi. “Nkane alikuwa na jeraha la kinena ambalo lilipaswa kumuweka nje kwa muda wa mwezi lakini mpaka sasa amebakiwa na wiki mbili kwa ajili ya kurejea uwanjani.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom