Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Nabi Amchomoa Kaseke Yanga.

BAADHI ya mastaa wa Yanga ambao mikataba yao inamalizika mwishoni mwa msimu huu ni pamoja na Deus Kaseke ambapo inatajwa kuwa uongozi wa klabu hiyo hauna mpango wa kumuongezea mkataba kutokana

na kushindwa kuonesha makali yake chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi.

Kaseke ambaye alikuwa na kiwango kizuri msimu uliopita wa 2020/21, msimu huu mambo yamekuwa magumu kwake ambapo ameshindwa kumshawishi kocha Nabi kumuanzisha kwenye kikosi chake.

Chanzo kutoka ndani ya Yanga, kimeliambia Spoti Xtra kuwa:

“Kuna baadhi ya wachezaji wa Yanga mikataba yao inaelekea ukingoni mwishoni mwa msimu huu wakiwemo Saidi

Ntibazonkiza ‘Saido’ na Deus Kaseke.

“Saido uongozi upo tayari kumuongezea mkataba kutokana na kiwango chake kuwa bora, pia kocha Nabi (Nassredine) amesema bado anamuhitaji kwenye kikosi chake.

“Jambo zito lipo kwa Kaseke ambaye msimu uliopita aliongezewa mkataba wa mwaka lakini ameshindwa

kuonesha kiwango bora kiasi cha kuwashawishi viongozi na benchi la ufundi.

“Viongozi kwa sasa wamesema hawana mpango wa kumuongezea mkataba wa kuendelea kubaki kwenye timu

lakini pia kuna uwezekano wa timu kuachana na Paul Godfrey ambaye kwenye dirisha dogo alikuwa kwenye orodha ya kuachwa.”

[QUOTE="vuligate, post: 755, member: 123"] [HEADING=1]Nabi Amchomoa Kaseke Yanga.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/KASEKE-2.jpg[/IMG] BAADHI ya mastaa wa Yanga ambao mikataba yao inamalizika mwishoni mwa msimu huu ni pamoja na Deus Kaseke ambapo inatajwa kuwa uongozi wa klabu hiyo hauna mpango wa kumuongezea mkataba kutokana na kushindwa kuonesha makali yake chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Kaseke ambaye alikuwa na kiwango kizuri msimu uliopita wa 2020/21, msimu huu mambo yamekuwa magumu kwake ambapo ameshindwa kumshawishi kocha Nabi kumuanzisha kwenye kikosi chake. Chanzo kutoka ndani ya Yanga, kimeliambia Spoti Xtra kuwa: “Kuna baadhi ya wachezaji wa Yanga mikataba yao inaelekea ukingoni mwishoni mwa msimu huu wakiwemo Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ na Deus Kaseke. “Saido uongozi upo tayari kumuongezea mkataba kutokana na kiwango chake kuwa bora, pia kocha Nabi (Nassredine) amesema bado anamuhitaji kwenye kikosi chake. “Jambo zito lipo kwa Kaseke ambaye msimu uliopita aliongezewa mkataba wa mwaka lakini ameshindwa kuonesha kiwango bora kiasi cha kuwashawishi viongozi na benchi la ufundi. “Viongozi kwa sasa wamesema hawana mpango wa kumuongezea mkataba wa kuendelea kubaki kwenye timu lakini pia kuna uwezekano wa timu kuachana na Paul Godfrey ambaye kwenye dirisha dogo alikuwa kwenye orodha ya kuachwa.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom