Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Beki Avuruga Mipango Yanga.

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, ameweka wazi kuwa, kukosekana kwa baadhi ya wachezaji wake muhimu wa kikosi cha kwanza akiwemo beki Mkongomani, Djuma Shabani, ni miongoni mwa vitu vinavyowapa changamoto kubwa ya kutimiza malengo yao.

Djuma anaendelea kukosekana kwenye michezo ya Yanga kutokana na kutumikia adhabu ya kufungiwa michezo mitatu baada ya kufanya kitendo cha utovu wa nidhamu kwenye mchezo dhidi ya Polisi Tanzania. Mpaka sasa amekosa mechi mbili.

Yanga ambao wanaongoza msimamo wa Ligi Kuu Bara na pointi zao 35 walizokusanya kwenye michezo 13, jana

Jumamosi walishuka uwanjani kuvaana na Mbeya City katika mwendelezo wa ligi hiyo.

Akizungumzia na Spoti Xtra, Kocha Nabi alisema: “Ni kweli kukosekana kwa baadhi ya wachezaji wetu ambao wanatumikia adhabu na wenye majeraha ni miongoni mwa mambo ambayo kwa kiasi fulani yanatupa wakati mgumu kwa kuwa upo utofauti kati ya mchezaji mmoja na mwingine.

“Lakini licha ya changamoto hizo, kama kikosi hatuwezi kulalamikia hali hiyo, bali tunalazimika kutumia wachezaji waliopo kupata matokeo mazuri.” Mbali na Djuma ambaye anatumikia adhabu hiyo, nyota wengine wa kikosi hicho ni majeruhi akiwemo Kibwana Shomary, Yacouba Songne na Abdallah Shaibu ‘Ninja’.

[QUOTE="vuligate, post: 756, member: 123"] [HEADING=1]Beki Avuruga Mipango Yanga.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/270016648_289349469685915_8676774062818196805_n.jpg[/IMG] KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, ameweka wazi kuwa, kukosekana kwa baadhi ya wachezaji wake muhimu wa kikosi cha kwanza akiwemo beki Mkongomani, Djuma Shabani, ni miongoni mwa vitu vinavyowapa changamoto kubwa ya kutimiza malengo yao. Djuma anaendelea kukosekana kwenye michezo ya Yanga kutokana na kutumikia adhabu ya kufungiwa michezo mitatu baada ya kufanya kitendo cha utovu wa nidhamu kwenye mchezo dhidi ya Polisi Tanzania. Mpaka sasa amekosa mechi mbili. Yanga ambao wanaongoza msimamo wa Ligi Kuu Bara na pointi zao 35 walizokusanya kwenye michezo 13, jana Jumamosi walishuka uwanjani kuvaana na Mbeya City katika mwendelezo wa ligi hiyo. Akizungumzia na Spoti Xtra, Kocha Nabi alisema: “Ni kweli kukosekana kwa baadhi ya wachezaji wetu ambao wanatumikia adhabu na wenye majeraha ni miongoni mwa mambo ambayo kwa kiasi fulani yanatupa wakati mgumu kwa kuwa upo utofauti kati ya mchezaji mmoja na mwingine. “Lakini licha ya changamoto hizo, kama kikosi hatuwezi kulalamikia hali hiyo, bali tunalazimika kutumia wachezaji waliopo kupata matokeo mazuri.” Mbali na Djuma ambaye anatumikia adhabu hiyo, nyota wengine wa kikosi hicho ni majeruhi akiwemo Kibwana Shomary, Yacouba Songne na Abdallah Shaibu ‘Ninja’. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom