Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Yanga Yawaandalia Mikataba Minono Mwamnyeto,Yacouba.

UONGOZI wa Yanga, umezima tetesi za kuondoka baadhi ya wachezaji ambao mikataba yao inatarajiwa kumalizika mwishoni mwa msimu huu na kuweka mazingira ya kuwapa mikataba mirefu.

Chanzo cha ndani kutoka Yanga kimelitonya Championi Jumamosi kuwa: “Ndani ya Yanga hakuna atakayeondoka tena, kwa sababu inataka kujenga timu yenye kikosi kipana, wote ambao mikataba yao ipo ukingoni itaongezwa.”

Championi lilimtafuta Mkurugenzi wa Mashindano wa Yanga, Thabity Kandoro ili kujua ukweli wa taarifa hizi ambapo alisema: “Kwa kawaida timu inayotengeneza kikosi bora haiwezi kuacha mchezaji holela.

“Kwa sababu kwa kufanya hivyo inakuwa ni sawa na kurudi nyuma baada ya kwenda mbele, Yanga itawapa mikataba mipya wachezaji wote ambao mikataba yao ipo ukingoni, hakuna atakayeondoka.”

Baadhi ya wachezaji wa Yanga ambao mikataba yao inatarajiwa kumalizika mwisho wa msimu huu ni nahodha Bakari Mwamnyeto, Kibwana Shomari, Saidi Ntibazonkiza, Yacouba Songne, Deus Kaseke na Abdallah Shaibu ‘Ninja’.

[QUOTE="vuligate, post: 773, member: 123"] [HEADING=1]Yanga Yawaandalia Mikataba Minono Mwamnyeto,Yacouba.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/99.png[/IMG] UONGOZI wa Yanga, umezima tetesi za kuondoka baadhi ya wachezaji ambao mikataba yao inatarajiwa kumalizika mwishoni mwa msimu huu na kuweka mazingira ya kuwapa mikataba mirefu. Chanzo cha ndani kutoka Yanga kimelitonya Championi Jumamosi kuwa: “Ndani ya Yanga hakuna atakayeondoka tena, kwa sababu inataka kujenga timu yenye kikosi kipana, wote ambao mikataba yao ipo ukingoni itaongezwa.” Championi lilimtafuta Mkurugenzi wa Mashindano wa Yanga, Thabity Kandoro ili kujua ukweli wa taarifa hizi ambapo alisema: “Kwa kawaida timu inayotengeneza kikosi bora haiwezi kuacha mchezaji holela. “Kwa sababu kwa kufanya hivyo inakuwa ni sawa na kurudi nyuma baada ya kwenda mbele, Yanga itawapa mikataba mipya wachezaji wote ambao mikataba yao ipo ukingoni, hakuna atakayeondoka.” Baadhi ya wachezaji wa Yanga ambao mikataba yao inatarajiwa kumalizika mwisho wa msimu huu ni nahodha Bakari Mwamnyeto, Kibwana Shomari, Saidi Ntibazonkiza, Yacouba Songne, Deus Kaseke na Abdallah Shaibu ‘Ninja’. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom