Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Nabi: Tuliwazidi Mbeya City Kila Kitu.

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga, yenye pointi 36 ikiwa nafasi ya kwanza kwenye ligi kuu, amesema kuwa waliwazidi wapinzani wao Mbeya City walio na pointi 23 kwenye kila kitu ndani ya dakika 90, kasoro kuwafunga tu ndio walishindwa.

Juzi, Uwanja wa Mkapa, ubao ulisoma Yanga 0-0 Mbeya City ambapo jitihada za Fiston Mayele mwenye mabao sita na pasi mbili kuweza kumtungua Deogratius Munishi, ziligonga mwamba.

Akizungumza na Championi Jumatatu, Nabi alisema kuwa walikwenda uwanjani na mbinu tofauti za kusaka ushindi na walikuwa wakibadilika kila wakati lakini hawakupata matokeo.

“Ukizungumzia mchezo ambao tumecheza mbele ya Mbeya City, tuliweza kuwazidi kwenye kila kitu kasoro tulishindwa kuwafunga, hayo ni matokeo na huwezi kuyabadili kwa kuwa yametokea na wachezaji walipambana, wanastahili pongezi.

“Ukianzia nafasi ambazo tulitengeneza zilikuwa ni nyingi, uwezo wa kumwiliki mpira ulikuwa ni mkubwa lakini ambacho nilikiona ni kwamba kipindi cha kwanza tulikuwa tunapoteza mipira mingi hasa kwenye upande wa viungo.

“Hilo lipo na hainqa maana kwamba wachezaji wetu watakuwa bora muda wote, inatokea hivyo, tunakwenda kuyafanyia kazi makosa yetu ili kuweza kurudi tukiwa imara zaidi,” alisema Nabi.

[QUOTE="Amir, post: 777, member: 20"] [HEADING=1]Nabi: Tuliwazidi Mbeya City Kila Kitu.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/nabi-pic-data.jpg[/IMG] NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga, yenye pointi 36 ikiwa nafasi ya kwanza kwenye ligi kuu, amesema kuwa waliwazidi wapinzani wao Mbeya City walio na pointi 23 kwenye kila kitu ndani ya dakika 90, kasoro kuwafunga tu ndio walishindwa. Juzi, Uwanja wa Mkapa, ubao ulisoma Yanga 0-0 Mbeya City ambapo jitihada za Fiston Mayele mwenye mabao sita na pasi mbili kuweza kumtungua Deogratius Munishi, ziligonga mwamba. Akizungumza na Championi Jumatatu, Nabi alisema kuwa walikwenda uwanjani na mbinu tofauti za kusaka ushindi na walikuwa wakibadilika kila wakati lakini hawakupata matokeo. “Ukizungumzia mchezo ambao tumecheza mbele ya Mbeya City, tuliweza kuwazidi kwenye kila kitu kasoro tulishindwa kuwafunga, hayo ni matokeo na huwezi kuyabadili kwa kuwa yametokea na wachezaji walipambana, wanastahili pongezi. “Ukianzia nafasi ambazo tulitengeneza zilikuwa ni nyingi, uwezo wa kumwiliki mpira ulikuwa ni mkubwa lakini ambacho nilikiona ni kwamba kipindi cha kwanza tulikuwa tunapoteza mipira mingi hasa kwenye upande wa viungo. “Hilo lipo na hainqa maana kwamba wachezaji wetu watakuwa bora muda wote, inatokea hivyo, tunakwenda kuyafanyia kazi makosa yetu ili kuweza kurudi tukiwa imara zaidi,” alisema Nabi. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom