Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kabwili Yupo Zake Tabata FC.

BAADA ya kutoonekana ndani ya kikosi cha Yanga kwa muda mrefu, golikipa Ramadhan Kabwili, ameonekana

akicheza fainali ya Kombe la Ng’ombe akiwa na Tabata FC.

Kabwili ambaye aliondoka kambini tangu Yanga ilipokuwa ikijiandaa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo uliochezwa Novemba 20, 2021, mpaka leo hajaonekana akiwa na kikosi hicho kinachonolewa

na Kocha Mkuu, Nassredine Nabi.

Juzi Jumapili, Spoti Xtra lilimshuhudia kipa huyo akiwa kwenye kikosi cha Tabata FC ambacho kilicheza

mchezo wa fainali ya kombe la Ng’ombe dhidi ya Tabata Future kwenye Uwanja wa Tabata Shule uliopo Tabata jiji Dar.

Mchezo huo ulimalizika kwa Tabata FC kuibuka na ushindi wa bao 1-0 na kuchukua zawadi ya ng’ombe huku Tabata

Future wakiambulia mbuzi wawili ambao ni zawadi ya mshindi wa pili.

[QUOTE="vuligate, post: 791, member: 123"] [HEADING=1]Kabwili Yupo Zake Tabata FC.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/KABWILI.jpg[/IMG] BAADA ya kutoonekana ndani ya kikosi cha Yanga kwa muda mrefu, golikipa Ramadhan Kabwili, ameonekana akicheza fainali ya Kombe la Ng’ombe akiwa na Tabata FC. Kabwili ambaye aliondoka kambini tangu Yanga ilipokuwa ikijiandaa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo uliochezwa Novemba 20, 2021, mpaka leo hajaonekana akiwa na kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nassredine Nabi. Juzi Jumapili, Spoti Xtra lilimshuhudia kipa huyo akiwa kwenye kikosi cha Tabata FC ambacho kilicheza mchezo wa fainali ya kombe la Ng’ombe dhidi ya Tabata Future kwenye Uwanja wa Tabata Shule uliopo Tabata jiji Dar. Mchezo huo ulimalizika kwa Tabata FC kuibuka na ushindi wa bao 1-0 na kuchukua zawadi ya ng’ombe huku Tabata Future wakiambulia mbuzi wawili ambao ni zawadi ya mshindi wa pili. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom