Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Manara: Hatulalamikii Waamuzi Tunawakumbusha Tu.

Kupitia Mkutano na waandishi wa Habari leo Feburuari 8, 2022, Msemaji wa Klabu ya Haji Manara amesema kuwa Klabu yake na viongozi hawatoi malalamiko kwa Waamuzi ila huwa wanafanya hivyo kuwakumbusha tu.

Haji Manara amesema kuwa Wajibu wao ni Kukumbusha tu, ila sio kupeleka malalamiko kwa Waamuzi kwa kuwa Klabu yao ina mashabiki na wanaona kuwa Haki Haitendeki na wao kazi yao ni Kusema kwa kuwa ndio Kazi ambayo wameichagua.

“Nilisema pale EFM hatuchezi ligi hii kuwa unbeaten tunacheza kuwa champion, Sisi ni klabu ya mpira lazima tutafungwa. Ni wenzetu tu ambao wanaamini wakifungwa wamehujumiwa.

“Sisi tunajua hii ni klabu ya mpira lazima kuna siku utapigwa.”

[QUOTE="Amir, post: 793, member: 20"] [HEADING=1]Manara: Hatulalamikii Waamuzi Tunawakumbusha Tu.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/FLEZL9xWQAUGozU.png[/IMG] Kupitia Mkutano na waandishi wa Habari leo Feburuari 8, 2022, Msemaji wa Klabu ya Haji Manara amesema kuwa Klabu yake na viongozi hawatoi malalamiko kwa Waamuzi ila huwa wanafanya hivyo kuwakumbusha tu. Haji Manara amesema kuwa Wajibu wao ni Kukumbusha tu, ila sio kupeleka malalamiko kwa Waamuzi kwa kuwa Klabu yao ina mashabiki na wanaona kuwa Haki Haitendeki na wao kazi yao ni Kusema kwa kuwa ndio Kazi ambayo wameichagua. “Nilisema pale EFM hatuchezi ligi hii kuwa unbeaten tunacheza kuwa champion, Sisi ni klabu ya mpira lazima tutafungwa. Ni wenzetu tu ambao wanaamini wakifungwa wamehujumiwa. “Sisi tunajua hii ni klabu ya mpira lazima kuna siku utapigwa.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom