Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Bumbuli: Simba Wameongezewa Dakika 75 Kwenye Mechi 15, Yanga Dk 34 .

Kupitia Mkutano na waandishi leo Februari 8, 2022 Afisa Habari wa Klabu ya Hassan Bumbuli amezitaja takwimu ambazo zinaonesha kuwa na utata katika kuweka usawa kwenye Timu ya Yanga Dhidi ya Wapinzani wao Simba.

Moja ya Takwimu ambayo ameitaja ya kwanza ni Dakika za Nyongeza ambazo hutolewa mwishoni mwa mchezo.

Bumbuli amesema kuwa katika michezo 14 ambayo Klabu ya Young Africans ilicheza kwenye Ligi Kuu msimu huu, walibahatika kuongezewa dakika 34 tu (Jumla) ikiwa na mgawanyiko wa ongezeko la dakika 2, 3 mpaka 5.

Kwenye Michezo 15 ambayo Klabu ya Simba iliyocheza kwenye Ligi Kuu msimu huu, waliongezewa Dakika 75 ikiwa na Mgawanyiko wa Ongezeko la Dakika 4, 5 mpaka 7.

“Tunataka Waamuzi wetu waanze kujitafakari juu ya haya ambayo yamekuwa yakiendelea na yamekuwa mjadala mkubwa sana kwenye Taifa letu, Lakini pia tunataja mamlaka zinazosimamia mpira zichukue hatua juu Ya jambo hili ambalo watu wamewekeza pesa zao.

“Hii imetokana na mlolongo wa matukio ya maamuzi yenye utata ambayo Kwa namna moja au nyingine yananyima haki ya timu zingine na yanatoa manufaa Kwa timu zingine.

“Tunaongoza Ligi hii kwa tofauti ya alama 5 tukiwa na matumaini makubwa yakwamba tuna kikosi imara na tunakwenda kushinda ubingwa msimu huu, pamoja na hayo yote Klabu ya Yanga tunapenda kueleza kwamba haturidhishwi na mwenendo wa baadhi waamuzi wanaocheza michezo ya Ligi kuu,” amesema Bumbuli.

[QUOTE="Amir, post: 794, member: 20"] [HEADING=1]Bumbuli: Simba Wameongezewa Dakika 75 Kwenye Mechi 15, Yanga Dk 34 .[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/8f6fcdeb5031c74ba25a9b6c4d6082eae3935816.webp[/IMG] Kupitia Mkutano na waandishi leo Februari 8, 2022 Afisa Habari wa Klabu ya Hassan Bumbuli amezitaja takwimu ambazo zinaonesha kuwa na utata katika kuweka usawa kwenye Timu ya Yanga Dhidi ya Wapinzani wao Simba. Moja ya Takwimu ambayo ameitaja ya kwanza ni Dakika za Nyongeza ambazo hutolewa mwishoni mwa mchezo. Bumbuli amesema kuwa katika michezo 14 ambayo Klabu ya Young Africans ilicheza kwenye Ligi Kuu msimu huu, walibahatika kuongezewa dakika 34 tu (Jumla) ikiwa na mgawanyiko wa ongezeko la dakika 2, 3 mpaka 5. Kwenye Michezo 15 ambayo Klabu ya Simba iliyocheza kwenye Ligi Kuu msimu huu, waliongezewa Dakika 75 ikiwa na Mgawanyiko wa Ongezeko la Dakika 4, 5 mpaka 7. “Tunataka Waamuzi wetu waanze kujitafakari juu ya haya ambayo yamekuwa yakiendelea na yamekuwa mjadala mkubwa sana kwenye Taifa letu, Lakini pia tunataja mamlaka zinazosimamia mpira zichukue hatua juu Ya jambo hili ambalo watu wamewekeza pesa zao. “Hii imetokana na mlolongo wa matukio ya maamuzi yenye utata ambayo Kwa namna moja au nyingine yananyima haki ya timu zingine na yanatoa manufaa Kwa timu zingine. “Tunaongoza Ligi hii kwa tofauti ya alama 5 tukiwa na matumaini makubwa yakwamba tuna kikosi imara na tunakwenda kushinda ubingwa msimu huu, pamoja na hayo yote Klabu ya Yanga tunapenda kueleza kwamba haturidhishwi na mwenendo wa baadhi waamuzi wanaocheza michezo ya Ligi kuu,” amesema Bumbuli. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom