Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Bila Kupepesa Macho, Jerry Muro Awachana Manara na Bumbuli.

KIMEUAMANA, hivyo ndivyo unavyoweza kusema! MKUU wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Jerry Muro amewataka wasemaji wa klabu ya Young Africans kusoma alama za nyakati na sio kukurupuka na kuzungumza na Waandishi wa Habari.

Jerry Muro ambaye aliwahi kuwa Afisa habari wa Young Africans ametoa ushauri huo kwa wasemaji wa klabu hiyo kwa sasa, ikiwa ni saa kadhaa baada ya kufanyika kwa mkutano na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya klabu hiyo leo Jumanne (Februari 08), Jijini Dar es salaam.

Mkutano huo na Wanahabari umefanywa chini ya Afisa Habari wa klabu hiyo kwa sasa Hassan Bumbuli na Msemaji wake Haji Sunday Manara, huku ajenda kuu ikiwa ni kutoridhishwa na mwenendo wa baadhi ya waamuzi waliochezesha michezo yao msimu huu.

Ajenda nyingine katika mkutano huo ilikua ni kulitaka shirikisho la soka nchini TFF kuwachukulia hatua baadhi ya viongozi wa klabu na wadau wengine kama inavyofanya kwa baadhi wa viongozi wa klabu hiyo kongwe katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.

Jerry Muro amesema: “Inashangaza kumsikia Afisa Habari wa klabu akielezea baadhi ya mambo ya msingi ya timu kama shabiki au kuongelea masuala ya ufundi kama kocha wakati kazi hizo si zao.”

“Hata kama klabu zina utaratibu wa kuwapa fursa ya kuzungumza na kutoa ufafanuzi wa mambo yanayoulizwa na waandishi wa habari, lakini wamekuwa wakienda mbali na mipaka yao. Ifike wakati wasemaji wa Yanga waonyeshe ukomavu katika kazi wanazopewa, wasikurupuke na kuonekana vituko.”

Kwa hali hiyo ni dhahir Jerry Muro hajafurahishwa wala kuyapokea yaliyozungumzwa katika mkutano na Waandishi wa Habari uliofanyika Makao Makuu ya klabu ya Young Africans leo Jumanne (Februari 8) jijini Dar es salaam.

[QUOTE="vuligate, post: 805, member: 123"] [HEADING=1]Bila Kupepesa Macho, Jerry Muro Awachana Manara na Bumbuli.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/manara-muro.jpg[/IMG] KIMEUAMANA, hivyo ndivyo unavyoweza kusema! MKUU wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Jerry Muro amewataka wasemaji wa klabu ya Young Africans kusoma alama za nyakati na sio kukurupuka na kuzungumza na Waandishi wa Habari. Jerry Muro ambaye aliwahi kuwa Afisa habari wa Young Africans ametoa ushauri huo kwa wasemaji wa klabu hiyo kwa sasa, ikiwa ni saa kadhaa baada ya kufanyika kwa mkutano na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya klabu hiyo leo Jumanne (Februari 08), Jijini Dar es salaam. Mkutano huo na Wanahabari umefanywa chini ya Afisa Habari wa klabu hiyo kwa sasa Hassan Bumbuli na Msemaji wake Haji Sunday Manara, huku ajenda kuu ikiwa ni kutoridhishwa na mwenendo wa baadhi ya waamuzi waliochezesha michezo yao msimu huu. Ajenda nyingine katika mkutano huo ilikua ni kulitaka shirikisho la soka nchini TFF kuwachukulia hatua baadhi ya viongozi wa klabu na wadau wengine kama inavyofanya kwa baadhi wa viongozi wa klabu hiyo kongwe katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati. Jerry Muro amesema: “Inashangaza kumsikia Afisa Habari wa klabu akielezea baadhi ya mambo ya msingi ya timu kama shabiki au kuongelea masuala ya ufundi kama kocha wakati kazi hizo si zao.” “Hata kama klabu zina utaratibu wa kuwapa fursa ya kuzungumza na kutoa ufafanuzi wa mambo yanayoulizwa na waandishi wa habari, lakini wamekuwa wakienda mbali na mipaka yao. Ifike wakati wasemaji wa Yanga waonyeshe ukomavu katika kazi wanazopewa, wasikurupuke na kuonekana vituko.” Kwa hali hiyo ni dhahir Jerry Muro hajafurahishwa wala kuyapokea yaliyozungumzwa katika mkutano na Waandishi wa Habari uliofanyika Makao Makuu ya klabu ya Young Africans leo Jumanne (Februari 8) jijini Dar es salaam. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom